mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
nimefikiria tu hapa nikutane na pisi kali, slim figure, yenye vidimpo kazini, afu tunavibeπππ mpaka nikafikia kusema Yes I do to him means mliobaki na watakaozaliwa wapya wote hamna jipya kaka zangu
Siku hizi mnaweka na kwenye tudimpo? π tudimpo ulemavu tu ule usikutishe.nimefikiria tu hapa nikutane na pisi kali, slim figure, yenye vidimpo kazini, afu tunavibeπ
niache kuiwekea? hata kaquickie?
labda sio mshamba mimi
Bora nyumbani huwazi sana usiku ukirudi unamkuta, huyo wa semina sasa.!!Apambane na mke wake kama hawaaminiani...
Maana hata akimfanya mama wa nyumbani, yeye akiwa kazini huku nyuma maskani kuna vijana watamzibua tu...
π€£π€£π€£π€£π₯΄ulitaka kusemaje? mutakuja kutuua na presha
Kama vipi amusindikizeApambane na mke wake kama hawaaminiani...
Maana hata akimfanya mama wa nyumbani, yeye akiwa kazini huku nyuma maskani kuna vijana watamzibua tu...
Adam mtu wa mwanzo alikuwa na mke...
Ibrahim baba wa imani alioa...
Mfalme Daudi alioa...
Mfalme Sulaiman alioa tena wake wengi tu...
Hauna hoja...
Hoja anayo. Wewe ndie huna hoja maana umetaja fiction characters tupu. Ambao hakuna evidence kuthibitisha kama kweli wamewai kuwepo duniani.. nje ya kuandikwa kwenye vitabu vya dini.
Ila kuna newton kuna evidence nyingi zinazothibitisha kwamba ni kweli wamewai kuwepo duniani. Na hata makaburi yao yapo. Records zao za kazi walizozifanya duniani zipo zimenyooka
Ongeza Isaac newton, franz kafka, the apostle paul, prophet daniel, jeremiah kwa kweli GREAT FIGURES of the past hakuwah kujihusisha na mapenz..
Mkuu umepaniki, ni kama nimekushtua na akili imeanza kuconnect boss wa shem.
Kwahiyo hutaki akitumikie alichokisomea?Jamaa kapanga kusafiri na mkeo kikazi.
umesema?? munapotumia misamiati munanipa puresha mutakuja kutuua munyooshe maneno tuchague kuzirai au kufa.Kwahiyo hutaki akitumikie alichokisomea?
Mno aiseeπIla maofisini kunachekesha sana π
Wtf are you tryin to tell us?