Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na sio kwa mama au bibi fulani

Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na sio kwa mama au bibi fulani

Kuna watu mnapata shida sana na vitu vidogo dogo tu.Mnapenda kukuza jambo..mm kwangu panatambulika kwa mama masanja maana kuna frem pale na mke wangu ana duka pale kwa hiyo wateja mm hata hawanifaham wamezoea jina la mke wangu mpaka boda boda ukiulizia jina langu ni shida ila ulizia hata vitue vitatu nyuma naenda kwa mama masanja fasta tu unapelekwa bila hata kuelekeza.Kuna vitu mnavipa umuhim lakini ni vidogo sana.Nyumba nyingi mtaani zinatambulika kwa majina ya wanawake maana wao ndo washinda nyumbani.
 
Kwa uzi huu umepuyanga machakani sana.

Mi sishindi nyumbani bali nimewacha watoto na mama yao.

Mi unaweza kunikuta nyumbani sio zaidi ya mara 2 kwa mwezi. Naingia usiku natoka usiku labda niwe mginjea ndio utnikuta nyumbani mchana.

Kiufupi vijana wengi hawnifahamu kwa sura labda wale mjirani wa muda mrefu sana.

Kwa hali kma hiyo kwangu kunfhmik kama kwa mama Zuwena mbe ni mtoto wangu mwisho.

Zîpo Nyumba mamilioni Kwa mamilioni Wanaume hawaishi nyumbani na hawashindi majumbani na bado zinatambulika Kwa Majina Yao.

Kutokushinda nyumbani siô kigezo cha wewe Nyumba yako isijulikane Kwa Jina Lako.

Watu wàpo nje ya nchi Miaka na Miaka na bado Majina Yao yanaishi kwèñye Nyumba wanazozijenga.
 
Kunatofauti kubwa sana ya aina ya maisha kutoka eneo moja hadi lingine

Huku kwetu uswahili karibu nyumba zote zinajulikana kwa mama fulani

Huku kwetu uswahili wanaume wote asubuhi na mapema karibu wote tunatoka kwenda kwenye mihangaiko yetu nje ya mitaa yetu na tunarudi usiku.
Majumbani wanabaki wanawake zetu tu na watoto..... watauziana vitumbua na maandazi, watasutana na kuchambana, wanavikoba vyao, wanaombana chumvi na unga, wanakopeshana na kuazimana vijora nk nk..... sasa wewe baba Jijo anakujua nani?
Hapo utakuta hapo mtaani wewe hujui lakini mkeo Mama Joji ni maarufu balaa kwa kukopa halafu mtata kulipa 😂😂
 
Aisee
Jina huja automatic
Huwezi kuforce
Kuna watu wana nyotaa kaliii huwezi shindana nao.
Akifika mtaani tu jina lake linawaka Huwezi control watu utahangaika sana

Kama Mkeo anakuzidi Ñyota Jua wewe Umeolewa na yeye ndiye kichwa cha Nyumba.
Úkiwa kichwa cha Nyumba automatically Nyumba yako lazima ibebe jina Lako
 
Hapana wanaume hatushindi manyumbani na hatupigi umbeya.

Kwani hao ambao majina Yao yanabeba Nyumba zào wanashindwa nyumbani?

Kûna Watu wanaishi Mjini na wamejenga Nyumba Huko kijijini Kwao wanaishi ndugu zào au Watu back na bado Nyumba inaitwa Kwa Mzee Fulani. Tenà Wengine hawajawahi kumwona na hawamjui
 
Hapa nitapingana na wewe kwa hoja.

Wanawake zamani walikuwa wanatumia ubini wa mwanaume achana na hii micharuko ya sasa.

Inawezekana mke wako akawa powerful sana kwenye jamii halafu wewe ukawa low profile lakini uko fit.

Hata pakiitwa kwa mama Taikon bado jina lako liko palepale.

Mimi Mama yangu mzazi amepewa mtaa kabisa kwa jina lake lakini ubini ni wa mume wake.

Kwahiyo hii inategeme na ntu na ntu.

Mama Samia ana mume wake mzee Ameir, usitegemee pale Mbweni paitwe kwa Mzee Ameir, nadhani umeelewa.

Kitu muhimu ni mwanaume kujitambuwa nafasi yako na hadhi yako.

Hata Sasa wanawake wanabebwa Majina ya waume zào wengi tuu lakini lazima huyo Mwanaume awe Mwanaume
 
MKE WAKO WAKO ASIKUZIDI JINA, NYUMBA YAKO ITAMBULIKE KWA BABA AU MZEE FULANI NA SIÔ KWA MAMA AU BIBI FULANI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Moja ya dalili kuwa Mwanaume umefeli ni Nyumba yako kutambulika Hapo mtaani Kwa jina la Mkeo.
Utasikia pale Kwa Mama Taikon, au Kwa Bibi Zeituni,
Nyumbani Kwa Mama Richard.

My friend ikifikia sehemu àmbayo NI yako alafu inatajwa Kwa Jina la Mkeo Jua kûna sehemu muhimu na nyeti umeshindwa kama Mwanaume na kama Baba.

Úkiwa kama Mwanaume muwajibikaji na unayejua majukumu yako jina Lako NI Moja ya Jambo nyeti kulilinda na kulikuza.

Siô Sifa nzuri Nyumba yako iitwe Kwa Jina la Mwanamke NI kwamba wewe Huna lolote. Wewe siô kichwa, wewe sio mtawala yàani upoupo.

NI Sawasawa na úwe Rais WA nchi hii alafu nchi jirani na Huko kimataifa Waiite nchi yako Kwa Jina la Makamu wako au Waziri Mkuu. Hiyo kiutawala Moja Kwa moja inaashiria kuwa Rais Hana chake Hapo.

Nyumba yako iitwe Kwa majina yako au ûkoo wenu.
Kwa Mzee Magufuli,
Kwa Mzee Kikwete,
Kwa Mzee Taikon
Kwa Mzee Mwinyi n.k.

Hata familia yako itambulishwe Kwa Jina laki au ubini wako.
Siô familia ya Mama au Bibi Fulani nop. Hiyo siô dalili nzuri kiutawala.

NI dalili ya kuwa haukuwa active enzi za ujana wako.

Moja ya mambo àmbayo Mungu alimuahidi Ibrahim ni kukuza jina lake na alilikuza. Hata Watoto na wajukuu wake Miaka nenda rudi huitwa Watoto na kizazi cha Ibrahim.
Pia hujulikana kama Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo.

Au Mungu wa mababu zetu.
Kitendo cha kukubali Mkeo au Mwanamke akuzidi kete ni kuruhusu Miaka ijayo aitwe Mungu wa Bibi zetu Jambo ambalo kiutawala hasa WA kiroho halipo.

Familia ambazo mama amebeba jina huwaga hazinaga kizazi kirefu Katika mafanikio.

Jina Lako lina thamani. Thamani hiyo lazima Uilinde.
Kiasi kwamba Siku ukiwa haupo Watoto na wajukuu zako wajivunie jina Lako.

Hata Mwanamke hujivunia kuitwa jina la Mwanaume mwenye heshima na legacy Kwa Wakati wake.
Mwanamke Hawezi kubali kubadili jina la ûkoo wake na kuitwa jina Lako kama hajivunii wewe, kama anakuona hujielewi.

Anakuona wewe sio shujaa,

Wanawake wanapenda Wanaume mashujaa, Malegend.
Mwanamke unaweza kukosa Pesa lakini Kama Unajina lenye heshima anaweza kukubali kuishi na wéwe na Kutumia.

Àndiko Hili nimeliandika nikilenga kukuhamasisha kijana upambane, onyesha wewe NI Nani hasa, onyesha wewe NI Mwanaume àmbaye Mwanamke yeyote atajivunia wewe.
Usiwe legelege, jina Lako litadharauliwa. Hakuna atakayeliheshimu jina Lako.
Na kama jina Lako haliheshimiwi Basi hata Mkeo na Watoto na kizazi chako hakitaheshimiwa.

Chochote unachofanya kifanye Kwa weledi na Ñguvu zako zote kuhakikisha unajenga heshima.
Hata kama unashona Viatu, Shona Kwa kiwango cha juu, kwako pataitwa Kwa Fulani mshona Viatu mashuhuri. Hiyo NI heshima kûbwa kuliko kuzubaa zubaa.

Wewe ni Mwanaume hakikisha jina Lako unalilinda na kulipa thamani ili Mungu alikuze na watu wakuheshimu.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Na hasa kama unatokea kanda maalum
 
Hahahah bro, maisha sio marahisi hivyo na sio magumu pia namna hiyo. Bro wangu na mkewe walipojenga huko Bunju wameweka na shule ya watoto hapo hapo na mkewe kwa sababu ana taaluma ya ualimu ndiye mkuu wa shule na ndiye anafahamika zaidi mahali hapo. Unavijua hivi vi daycare vya mtaani, ilianza bila jina, madam Winnie ni maarufu sana mahali pale.
Kwa faida ya kibiashara, familia na n.k bro ameendelea kuwa anonymous na maisha yanaendelea.
 
Back
Top Bottom