Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #41
Hahahah bro, maisha sio marahisi hivyo na sio magumu pia namna hiyo. Bro wangu na mkewe walipojenga huko Bunju wameweka na shule ya watoto hapo hapo na mkewe kwa sababu ana taaluma ya ualimu ndiye mkuu wa shule na ndiye anafahamika zaidi mahali hapo. Unavijua hivi vi daycare vya mtaani, ilianza bila jina, madam Winnie ni maarufu sana mahali pale.
Kwa faida ya kibiashara, familia na n.k bro ameendelea kuwa anonymous na maisha yanaendelea.
Kimsingi shule hiyo niya Mkewe