ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Kwa uzi huu umepuyanga machakani sana.
Mi sishindi nyumbani bali nimewacha watoto na mama yao.
Mi unaweza kunikuta nyumbani sio zaidi ya mara 2 kwa mwezi. Naingia usiku natoka usiku labda niwe mginjea ndio utnikuta nyumbani mchana.
Kiufupi vijana wengi hawnifahamu kwa sura labda wale mjirani wa muda mrefu sana.
Kwa hali kma hiyo kwangu kunfhmik kama kwa mama Zuwena mbe ni mtoto wangu mwisho.
Hatari mkuu .nashangaa nyumba znajulikana kwa jina la mama ,hata mimi support huo ni ushubwada
Aisee
Jina huja automatic
Huwezi kuforce
Kuna watu wana nyotaa kaliii huwezi shindana nao.
Akifika mtaani tu jina lake linawaka Huwezi control watu utahangaika sana
Kwa namna hiyo unataka iwe mleta Mada....
Basi wanaume wana safari ndefu sana....Poleni...
Kwamba mnataka na wanaume waanze kushinda vibarazani wakikuna nazi na kusukana ili wawe maarufu kuliko wake zao??
Hapana wanaume hatushindi manyumbani na hatupigi umbeya.
Hapa nitapingana na wewe kwa hoja.
Wanawake zamani walikuwa wanatumia ubini wa mwanaume achana na hii micharuko ya sasa.
Inawezekana mke wako akawa powerful sana kwenye jamii halafu wewe ukawa low profile lakini uko fit.
Hata pakiitwa kwa mama Taikon bado jina lako liko palepale.
Mimi Mama yangu mzazi amepewa mtaa kabisa kwa jina lake lakini ubini ni wa mume wake.
Kwahiyo hii inategeme na ntu na ntu.
Mama Samia ana mume wake mzee Ameir, usitegemee pale Mbweni paitwe kwa Mzee Ameir, nadhani umeelewa.
Kitu muhimu ni mwanaume kujitambuwa nafasi yako na hadhi yako.
Mwanaume hutakiwi kua maarufu mtaani kwako.
Mikocheni Kwa Warioba au Kwa Juma Awadhi Haji Chadema wanamuelewa vyema huyu mwamba 😂😂
Na hasa kama unatokea kanda maalumMKE WAKO WAKO ASIKUZIDI JINA, NYUMBA YAKO ITAMBULIKE KWA BABA AU MZEE FULANI NA SIÔ KWA MAMA AU BIBI FULANI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Moja ya dalili kuwa Mwanaume umefeli ni Nyumba yako kutambulika Hapo mtaani Kwa jina la Mkeo.
Utasikia pale Kwa Mama Taikon, au Kwa Bibi Zeituni,
Nyumbani Kwa Mama Richard.
My friend ikifikia sehemu àmbayo NI yako alafu inatajwa Kwa Jina la Mkeo Jua kûna sehemu muhimu na nyeti umeshindwa kama Mwanaume na kama Baba.
Úkiwa kama Mwanaume muwajibikaji na unayejua majukumu yako jina Lako NI Moja ya Jambo nyeti kulilinda na kulikuza.
Siô Sifa nzuri Nyumba yako iitwe Kwa Jina la Mwanamke NI kwamba wewe Huna lolote. Wewe siô kichwa, wewe sio mtawala yàani upoupo.
NI Sawasawa na úwe Rais WA nchi hii alafu nchi jirani na Huko kimataifa Waiite nchi yako Kwa Jina la Makamu wako au Waziri Mkuu. Hiyo kiutawala Moja Kwa moja inaashiria kuwa Rais Hana chake Hapo.
Nyumba yako iitwe Kwa majina yako au ûkoo wenu.
Kwa Mzee Magufuli,
Kwa Mzee Kikwete,
Kwa Mzee Taikon
Kwa Mzee Mwinyi n.k.
Hata familia yako itambulishwe Kwa Jina laki au ubini wako.
Siô familia ya Mama au Bibi Fulani nop. Hiyo siô dalili nzuri kiutawala.
NI dalili ya kuwa haukuwa active enzi za ujana wako.
Moja ya mambo àmbayo Mungu alimuahidi Ibrahim ni kukuza jina lake na alilikuza. Hata Watoto na wajukuu wake Miaka nenda rudi huitwa Watoto na kizazi cha Ibrahim.
Pia hujulikana kama Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo.
Au Mungu wa mababu zetu.
Kitendo cha kukubali Mkeo au Mwanamke akuzidi kete ni kuruhusu Miaka ijayo aitwe Mungu wa Bibi zetu Jambo ambalo kiutawala hasa WA kiroho halipo.
Familia ambazo mama amebeba jina huwaga hazinaga kizazi kirefu Katika mafanikio.
Jina Lako lina thamani. Thamani hiyo lazima Uilinde.
Kiasi kwamba Siku ukiwa haupo Watoto na wajukuu zako wajivunie jina Lako.
Hata Mwanamke hujivunia kuitwa jina la Mwanaume mwenye heshima na legacy Kwa Wakati wake.
Mwanamke Hawezi kubali kubadili jina la ûkoo wake na kuitwa jina Lako kama hajivunii wewe, kama anakuona hujielewi.
Anakuona wewe sio shujaa,
Wanawake wanapenda Wanaume mashujaa, Malegend.
Mwanamke unaweza kukosa Pesa lakini Kama Unajina lenye heshima anaweza kukubali kuishi na wéwe na Kutumia.
Àndiko Hili nimeliandika nikilenga kukuhamasisha kijana upambane, onyesha wewe NI Nani hasa, onyesha wewe NI Mwanaume àmbaye Mwanamke yeyote atajivunia wewe.
Usiwe legelege, jina Lako litadharauliwa. Hakuna atakayeliheshimu jina Lako.
Na kama jina Lako haliheshimiwi Basi hata Mkeo na Watoto na kizazi chako hakitaheshimiwa.
Chochote unachofanya kifanye Kwa weledi na Ñguvu zako zote kuhakikisha unajenga heshima.
Hata kama unashona Viatu, Shona Kwa kiwango cha juu, kwako pataitwa Kwa Fulani mshona Viatu mashuhuri. Hiyo NI heshima kûbwa kuliko kuzubaa zubaa.
Wewe ni Mwanaume hakikisha jina Lako unalilinda na kulipa thamani ili Mungu alikuze na watu wakuheshimu.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Kwanza mimi watu huwa wananiita kwa jina langu, sipendi kuitwa Baba fulani hata mke wangu namuita kwa jina lake.
Wana mpost sana huko Twitter ingia Utajua wanavyomuelewaWanamuelewaje Mkûu?
.😃😃Na hasa kama unatokea kanda maalum
Wana mpost sana huko Twitter ingia Utajua wanavyomuelewa
Hahahah bro, maisha sio marahisi hivyo na sio magumu pia namna hiyo. Bro wangu na mkewe walipojenga huko Bunju wameweka na shule ya watoto hapo hapo na mkewe kwa sababu ana taaluma ya ualimu ndiye mkuu wa shule na ndiye anafahamika zaidi mahali hapo. Unavijua hivi vi daycare vya mtaani, ilianza bila jina, madam Winnie ni maarufu sana mahali pale.MKE WAKO WAKO ASIKUZIDI JINA, NYUMBA YAKO ITAMBULIKE KWA BABA AU MZEE FULANI NA SIÔ KWA MAMA AU BIBI FULANI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Moja ya dalili kuwa Mwanaume umefeli ni Nyumba yako kutambulika Hapo mtaani Kwa jina la Mkeo.
Utasikia pale Kwa Mama Taikon, au Kwa Bibi Zeituni,
Nyumbani Kwa Mama Richard.
My friend ikifikia sehemu àmbayo NI yako alafu inatajwa Kwa Jina la Mkeo Jua kûna sehemu muhimu na nyeti umeshindwa kama Mwanaume na kama Baba.
Úkiwa kama Mwanaume muwajibikaji na unayejua majukumu yako jina Lako NI Moja ya Jambo nyeti kulilinda na kulikuza.
Siô Sifa nzuri Nyumba yako iitwe Kwa Jina la Mwanamke NI kwamba wewe Huna lolote. Wewe siô kichwa, wewe sio mtawala yàani upoupo.
NI Sawasawa na úwe Rais WA nchi hii alafu nchi jirani na Huko kimataifa Waiite nchi yako Kwa Jina la Makamu wako au Waziri Mkuu. Hiyo kiutawala Moja Kwa moja inaashiria kuwa Rais Hana chake Hapo.
Nyumba yako iitwe Kwa majina yako au ûkoo wenu.
Kwa Mzee Magufuli,
Kwa Mzee Kikwete,
Kwa Mzee Taikon
Kwa Mzee Mwinyi n.k.
Hata familia yako itambulishwe Kwa Jina laki au ubini wako.
Siô familia ya Mama au Bibi Fulani nop. Hiyo siô dalili nzuri kiutawala.
NI dalili ya kuwa haukuwa active enzi za ujana wako.
Moja ya mambo àmbayo Mungu alimuahidi Ibrahim ni kukuza jina lake na alilikuza. Hata Watoto na wajukuu wake Miaka nenda rudi huitwa Watoto na kizazi cha Ibrahim.
Pia hujulikana kama Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo.
Au Mungu wa mababu zetu.
Kitendo cha kukubali Mkeo au Mwanamke akuzidi kete ni kuruhusu Miaka ijayo aitwe Mungu wa Bibi zetu Jambo ambalo kiutawala hasa WA kiroho halipo.
Familia ambazo mama amebeba jina huwaga hazinaga kizazi kirefu Katika mafanikio.
Jina Lako lina thamani. Thamani hiyo lazima Uilinde.
Kiasi kwamba Siku ukiwa haupo Watoto na wajukuu zako wajivunie jina Lako.
Hata Mwanamke hujivunia kuitwa jina la Mwanaume mwenye heshima na legacy Kwa Wakati wake.
Mwanamke Hawezi kubali kubadili jina la ûkoo wake na kuitwa jina Lako kama hajivunii wewe, kama anakuona hujielewi.
Anakuona wewe sio shujaa,
Wanawake wanapenda Wanaume mashujaa, Malegend.
Mwanamke unaweza kukosa Pesa lakini Kama Unajina lenye heshima anaweza kukubali kuishi na wéwe na Kutumia.
Àndiko Hili nimeliandika nikilenga kukuhamasisha kijana upambane, onyesha wewe NI Nani hasa, onyesha wewe NI Mwanaume àmbaye Mwanamke yeyote atajivunia wewe.
Usiwe legelege, jina Lako litadharauliwa. Hakuna atakayeliheshimu jina Lako.
Na kama jina Lako haliheshimiwi Basi hata Mkeo na Watoto na kizazi chako hakitaheshimiwa.
Chochote unachofanya kifanye Kwa weledi na Ñguvu zako zote kuhakikisha unajenga heshima.
Hata kama unashona Viatu, Shona Kwa kiwango cha juu, kwako pataitwa Kwa Fulani mshona Viatu mashuhuri. Hiyo NI heshima kûbwa kuliko kuzubaa zubaa.
Wewe ni Mwanaume hakikisha jina Lako unalilinda na kulipa thamani ili Mungu alikuze na watu wakuheshimu.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Sijui wenyewe Chadema naona Wana mpost ana trend tuu na stori kibaoKûna MTU kaibiwa?