Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Hahahah bro, maisha sio marahisi hivyo na sio magumu pia namna hiyo. Bro wangu na mkewe walipojenga huko Bunju wameweka na shule ya watoto hapo hapo na mkewe kwa sababu ana taaluma ya ualimu ndiye mkuu wa shule na ndiye anafahamika zaidi mahali hapo. Unavijua hivi vi daycare vya mtaani, ilianza bila jina, madam Winnie ni maarufu sana mahali pale.
Kwa faida ya kibiashara, familia na n.k bro ameendelea kuwa anonymous na maisha yanaendelea.
Sijui wenyewe Chadema naona Wana mpost ana trend tuu na stori kibao
Hakuna Wanasiasa Wala Vyama Vyao nao wapenda ila Huwa nafurahia wanavyotoana ngeu kama Simba na Yanga 😂😂Kwa nini unawapenda CHADEMA?😊
Hakuna Wanasiasa Wala Vyama Vyao nao wapenda ila Huwa nafurahia wanavyotoana ngeu kama Simba na Yanga 😂😂
Mbeya kuna mtaa unaitwa kwa Mama John
🤣🤣Mikocheni Kwa Warioba au Kwa Juma Awadhi Haji Chadema wanamuelewa vyema huyu mwamba 😂😂
Sitegemei kuendeshea maisha kisa Wanasiasa la hasha ila Nina switch accordingly na dance zao.
Chadema itakufanya uingie p kabla ya siku zako!Sijui wenyewe Chadema naona Wana mpost ana trend tuu na stori kibao
Sitegemei kuendeshea maisha kisa Wanasiasa la hasha ila Nina switch accordingly na dance zao.
Wao wakatane hata miguu Mimi hainihusu walasiwezi ku sympathise nao maana wote ni matapeli wanatafuta kitu kimoja,washike Dola Kwa maslahi Yao na familia zao at our expenses
Anajua Kwa sababu Mimi Huwa Niko straight kwmaba ni mshabiki wa Samia tuu ila sio Mwanachama wa Chama chochote,sera za Mama zimenifurahisha basi.😀😀😀
Lucas Mwashambwa anajua hili
Nyumba na yangu na mke ni wangu.
Mimi hata baadhi ya majirani zangu hawajui sura yako. Kwa nature ya shughuli zangu natoka almost daily saa 11 asubuhi na kurudi saa 2 usiku.
Kwangu kunajulikana kwa umaarufu wa Mama Fulani, kumaanisha mke wangu na hiyo haijanipunguzia hata chembe ya uanaume wangu.
Kwa nini?Chadema itakufanya uingie p kabla ya siku zako!
Hataki pale kwenu pajulikana Kwa Ma-MaKiwendoKwa namna hiyo unataka iwe mleta Mada....
Basi wanaume wana safari ndefu sana....Poleni...
kuna logic gan kuitwa kwa baba fulan afu kapuku?