Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Ndio itasababisha mke kutonunaMkaze vizuri...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio itasababisha mke kutonunaMkaze vizuri...
Dalili zinaonyesha uko mbioni kuchepuka.Umewahi kumsaliti?
Kwakweli hata mimi niko kwenye hali hiyo na mume wangu, tokea anisaliti to be honest sijisikii kumpenda wala kumfurahia tena. Na sijui tu natokaje kwenye hali hii.
Kabisa, kwani hujui...Ndio itasababisha mke kutonuna
Mpandishe cheo awe "Mke Mkubwa"Yaani iko hivi
Ukiwa na mke wako mkiwa wawili hacheki kabisa yaani full kununiana full ukauzu. Ila sasa wakiwepo washkaji na marafiki zako wa wa kazini au hata mtaani unakuta tabasamu halikauki usoni mwake.
Yaani ni kucheka mwanzo mwisho. Bashasha za hapa na pale hatari yaani hadi unaona aahh.
Sasa wakuu hiki ni nini?
Imekaaje hii.
Mkaze vizuri...
Akikujibu nitaG 😂😂😂 maana dalili zinaonesha mtu alipigwa kazi kimjini mjiniHahaha
Vipi hii technique uliitumia kwa Mahondaw au unajaribu kuchangia tu
Akikujibu nitaG [emoji23][emoji23][emoji23] maana dalili zinaonesha mtu alipigwa kazi kimjini mjini
Hiyo ni noma.....
Hiyo anakuonyesha sio we pekee unayeweza kumletea furaha