Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

Yaani iko hivi

Ukiwa na mke wako mkiwa wawili hacheki kabisa yaani full kununiana full ukauzu. Ila sasa wakiwepo washkaji na marafiki zako wa wa kazini au hata mtaani unakuta tabasamu halikauki usoni mwake.

Yaani ni kucheka mwanzo mwisho. Bashasha za hapa na pale hatari yaani hadi unaona aahh.

Sasa wakuu hiki ni nini?

Imekaaje hii.

Mpandishe cheo awe "Mke Mkubwa"
 
Back
Top Bottom