Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Sisi kazini kwetu tunafunishwq masuala ya personel data protection (ulinzi wa taarifa binafsi) huruhusiwi mtu yoyote kupekua simu yako , awe mke au watoto. Haya mambo ya kuruhusu watu kupekua simu yako ovyo, kuna siku utaishia jela.