Mke wangu ameanza kunizoea. Naona vimigogoro vimeanza

Hapo ndipo mnapofeli kwenye ndoa, wewe na yeye ni mwili mmoja wewe unaogopa nini akishika na kusearch muda wowote??? Vinginevyo mkuu wewe ndiye mwenye matatizo! Wewe ukitaka simu yake muda wowote anakupa???? Kama na yeye anakukatalia basi ndoa Yenu haitafika mbali! Unachodai kuwa kakuzoea mwanzo hakuwa hivyo sio kweli, ulikuwa unatumia ubabe tu! Lakini kiukweli mwanamke yupo sahihi, kama kweli unampenda hupaswi kumwekea mipaka kwenye vyitu vyako, msiwe mnaingia kwenye ndoa kama hamjakomaa akili mkuu! Ndoa ni zaidi ya kufanya mapenzi, ndoa ili iwe na amani hivyi vyitu vinahitajika ( uaminifu, uwazi na msamaha) vyote hivyi vimejengwa kwenye upendo! Kama kweli unampenda huwezi kumpa mipaka kwenye simu! Wewe unaficha nini mkuu??? Tena watu wa aina yako ndio wale hata mshahara wako na kipato chako mke wako hajui ! Mkiendelea kuishi hivyo mkuu hiyo sio ndoa mnaigiza tu!ishini na mwanamke kwa akili mkuu! Jua kwamba ana kili tena yamkini kukuliko tofauti yenu ni maumbile tu!!! Mimi na mke wangu tuna miaka mitano kwrnye ndoa na kila mmoja yupo wazi kwa mwenzake kwa kila kitu kuanzia simu muda wowote anaweza kuchukua simu yangu akakaa nayo hata siku nzimu na wala hakuna shida na mimi hivyo hivyo kwa nini tuogapane na wakati sisi ni mwili mmoja???? Mshahara wangu anaujua na yeye najua kipato chake! Jirekibishe mkuu acha mfumo dume!!
Aisee ukiishi hivi na mwanamke ni hatari sana!
Kwaiyo we hata ndugu yako akikuomba hela lazima ukamwambia kwanza mkeo??
Hakuna cha kuficha lakini kushikiana simu ni chanzo cha matatizo
 
Mkuu alikuwa anakuheshimu ila kagundua naheshimu boya tu kumbe, ngoja nianze kuliamshia popo kitu kimoja baada ya kingine.

Angalia ulionesha udhaifu wapi hadi akakuvua nyota zooote.

Kama kuna jambo ulifanya kisha ukamuomba msamaha hapo ndio chanzo kilipo.
Kama kuna bao ulipiga kisha ukazimia kama sungura hiyo sababu ya pili 😂
 
nilikua sifuliwi nguo na kupikiwa
kuna raha yake pia
Kama haya ndio yamekufanya kuoa basi achana na huyo mwanamke mapema sana.

Hizi huduma plus sex unaweza kuzipata bila kuwa na mke na nyumba ikawa safi siku zote.

Nishawishj sababu nyingine iliyokufa ya kuoa lakini hizo ulizosema hazina msingi wowote.
 
Wakuu,

Hapo nyuma mke wangu alikua hajanizoea ye mwenyewe amekiri kwamba alikua ananiogopa.
Kwa upande wangu ilikua burudan ananiheshimu naongea mara moja ananisikia.

Sasa miezi kadhaa naona amenizoea ananipanda kichwani. Tunabishana ukiongea kitu mnazozana.
Baada kuona sina mambo mengi sasa ugomvi wake upo kwene simu.

Mimi nilimkataza asshike simu yangu saizi ndio ugomvi ulipo.mwanzo alikua anachukua maagizo bila maswali saizi home hakukaliki anataka simu yangu. Tena siyo tu kuangalia mara moja anataka awe anaichukua akitaka na kuangalia anachotaka. Sasa naona kama kutakua na shida kubwa huko mbele.

Yaan nimegundua mwanamke hata kama hakuna Tatizo atatengeneza tatizo!
Issue ndigo sana, kuwa mkali kama wiki moja hiv ikiwezekana mchape kofi, mkumbushenyeye ni nani
 
Hapo ndipo mnapofeli kwenye ndoa, wewe na yeye ni mwili mmoja wewe unaogopa nini akishika na kusearch muda wowote??? Vinginevyo mkuu wewe ndiye mwenye matatizo! Wewe ukitaka simu yake muda wowote anakupa???? Kama na yeye anakukatalia basi ndoa Yenu haitafika mbali! Unachodai kuwa kakuzoea mwanzo hakuwa hivyo sio kweli, ulikuwa unatumia ubabe tu! Lakini kiukweli mwanamke yupo sahihi, kama kweli unampenda hupaswi kumwekea mipaka kwenye vyitu vyako, msiwe mnaingia kwenye ndoa kama hamjakomaa akili mkuu! Ndoa ni zaidi ya kufanya mapenzi, ndoa ili iwe na amani hivyi vyitu vinahitajika ( uaminifu, uwazi na msamaha) vyote hivyi vimejengwa kwenye upendo! Kama kweli unampenda huwezi kumpa mipaka kwenye simu! Wewe unaficha nini mkuu??? Tena watu wa aina yako ndio wale hata mshahara wako na kipato chako mke wako hajui ! Mkiendelea kuishi hivyo mkuu hiyo sio ndoa mnaigiza tu!ishini na mwanamke kwa akili mkuu! Jua kwamba ana kili tena yamkini kukuliko tofauti yenu ni maumbile tu!!! Mimi na mke wangu tuna miaka mitano kwrnye ndoa na kila mmoja yupo wazi kwa mwenzake kwa kila kitu kuanzia simu muda wowote anaweza kuchukua simu yangu akakaa nayo hata siku nzimu na wala hakuna shida na mimi hivyo hivyo kwa nini tuogapane na wakati sisi ni mwili mmoja???? Mshahara wangu anaujua na yeye najua kipato chake! Jirekibishe mkuu acha mfumo dume!!
Dunia imeaccomadate wajinga wengi sana, usizoe kila kilichoandikwa kwenye Biblia.

Huwezi kuwa mwili mmoja na mwanamke huu ni ujinga, yani wewe huna tofauti na wanaotowa sadaka ya kujimaliza.

Yani unataka kuiga maisha ya wazungu utayaweza? Mke wako ajuwe kipato chako chote?

Wewe ukija kusikia kuna bodaboda anambanduwa huyo mke wako utajinyonga.
 
Wakuu,

Hapo nyuma mke wangu alikua hajanizoea ye mwenyewe amekiri kwamba alikua ananiogopa.
Kwa upande wangu ilikua burudan ananiheshimu naongea mara moja ananisikia.

Sasa miezi kadhaa naona amenizoea ananipanda kichwani. Tunabishana ukiongea kitu mnazozana.
Baada kuona sina mambo mengi sasa ugomvi wake upo kwene simu.

Mimi nilimkataza asshike simu yangu saizi ndio ugomvi ulipo.mwanzo alikua anachukua maagizo bila maswali saizi home hakukaliki anataka simu yangu. Tena siyo tu kuangalia mara moja anataka awe anaichukua akitaka na kuangalia anachotaka. Sasa naona kama kutakua na shida kubwa huko mbele.

Yaan nimegundua mwanamke hata kama hakuna Tatizo atatengeneza tatizo!
Kwann umzuiye mpe ashike Kuna vitu unaficha na unavozidi kukataa ndo unatengeneza mazingira azidi kuitaka zaidi
 
Mjinga mwingine huyu, wewe una uwezo wa kumridhisha mwanamke?

Jiulize Billionare kama Bill gates kwa nini amedivorce?
 
Ndoa mnazitengenezeaga ugumu wenyewe. Unaoa halafu unataka maisha ya ubachela. Ukishakuwa na familia simu yako inaweza kutumika na mke au watoto. Michepuko unaitafuta wewe sio ikutafute. Mambo ya kutumiana sms za mapenzi na una mke na watoto ya nini? Simu yako inapaswa kuwa huru kwa familia yako.
 
Mwanamke akikukera piga Kwa nguvu zako zote na ikiwezekana Hadi akaribie kukata moto ili asirudie Tena makosa.Lakini ukiwa unampigia Kwa kumpapasa kama watu wa Tanga wanavyowapiga wake zao Kwa kutumia kanga utakuza tatizo.
 
Akitoka kwenye simu,,atahamia kwenye kukuchagulia marafiki,,atamalizia na uwe unamsaidia kuosha vyombo
 
Sisi kazini kwetu tunafunishwq masuala ya personel data protection (ulinzi wa taarifa binafsi) huruhusiwi mtu yoyote kupekua simu yako , awe mke au watoto. Haya mambo ya kuruhusu watu kupekua simu yako ovyo, kuna siku utaishia jela.
 
Back
Top Bottom