Mke wangu ameanza kunizoea. Naona vimigogoro vimeanza

Punguza kushinda shinda nyumbani..hayo mazoea hutoyaona tena....tafuta michongo ya kufanya kukuweka busy.
 
Wakuu,

Hapo nyuma mke wangu alikua hajanizoea ye mwenyewe amekiri kwamba alikua ananiogopa.
Kwa upande wangu ilikua burudan ananiheshimu naongea mara moja ananisikia.

Sasa miezi kadhaa naona amenizoea ananipanda kichwani. Tunabishana ukiongea kitu mnazozana.
Baada kuona sina mambo mengi sasa ugomvi wake upo kwene simu.

Mimi nilimkataza asshike simu yangu saizi ndio ugomvi ulipo.mwanzo alikua anachukua maagizo bila maswali saizi home hakukaliki anataka simu yangu. Tena siyo tu kuangalia mara moja anataka awe anaichukua akitaka na kuangalia anachotaka. Sasa naona kama kutakua na shida kubwa huko mbele.

Yaan nimegundua mwanamke hata kama hakuna Tatizo atatengeneza tatizo!
Hapo ndipo mnapofeli kwenye ndoa, wewe na yeye ni mwili mmoja wewe unaogopa nini akishika na kusearch muda wowote??? Vinginevyo mkuu wewe ndiye mwenye matatizo! Wewe ukitaka simu yake muda wowote anakupa???? Kama na yeye anakukatalia basi ndoa Yenu haitafika mbali! Unachodai kuwa kakuzoea mwanzo hakuwa hivyo sio kweli, ulikuwa unatumia ubabe tu! Lakini kiukweli mwanamke yupo sahihi, kama kweli unampenda hupaswi kumwekea mipaka kwenye vyitu vyako, msiwe mnaingia kwenye ndoa kama hamjakomaa akili mkuu! Ndoa ni zaidi ya kufanya mapenzi, ndoa ili iwe na amani hivyi vyitu vinahitajika ( uaminifu, uwazi na msamaha) vyote hivyi vimejengwa kwenye upendo! Kama kweli unampenda huwezi kumpa mipaka kwenye simu! Wewe unaficha nini mkuu??? Tena watu wa aina yako ndio wale hata mshahara wako na kipato chako mke wako hajui ! Mkiendelea kuishi hivyo mkuu hiyo sio ndoa mnaigiza tu!ishini na mwanamke kwa akili mkuu! Jua kwamba ana kili tena yamkini kukuliko tofauti yenu ni maumbile tu!!! Mimi na mke wangu tuna miaka mitano kwrnye ndoa na kila mmoja yupo wazi kwa mwenzake kwa kila kitu kuanzia simu muda wowote anaweza kuchukua simu yangu akakaa nayo hata siku nzimu na wala hakuna shida na mimi hivyo hivyo kwa nini tuogapane na wakati sisi ni mwili mmoja???? Mshahara wangu anaujua na yeye najua kipato chake! Jirekibishe mkuu acha mfumo dume!!
 
Hebu weka picha yake hapa nione kama nyota yako na yake zinafanana, kama hazifanani nimchukue ili nimsafishe nyota yake iliyoharibiwa na mizimu ya majirani, wengi nimewafanikisha kwa njia hii.
 
Wakuu,

Hapo nyuma mke wangu alikua hajanizoea ye mwenyewe amekiri kwamba alikua ananiogopa.
Kwa upande wangu ilikua burudan ananiheshimu naongea mara moja ananisikia.

Sasa miezi kadhaa naona amenizoea ananipanda kichwani. Tunabishana ukiongea kitu mnazozana.
Baada kuona sina mambo mengi sasa ugomvi wake upo kwene simu.

Mimi nilimkataza asshike simu yangu saizi ndio ugomvi ulipo.mwanzo alikua anachukua maagizo bila maswali saizi home hakukaliki anataka simu yangu. Tena siyo tu kuangalia mara moja anataka awe anaichukua akitaka na kuangalia anachotaka. Sasa naona kama kutakua na shida kubwa huko mbele.

Yaan nimegundua mwanamke hata kama hakuna Tatizo atatengeneza tatizo!

Kwenye simu yako kuna uchafu..Ndoa ni taasisi inayolindwa kwa kujali haki na majukumu ya wanandoa. Unakatalia msimu wako akikatalia ya kwake? Hutaki akuzoee akazoee fisi porini?. Mara nyingi sisi wanaume ndio mazuzu kwenye ndoa, michepuko kibao halafu milalamishi kibao! Mpende mkeo usijilize lize hapa. Na huo msimu wako mpe achungulie tu. Utamkandia mkeo hapa lkn michepuko ya midemu yenu wala haiguswi. Uzinzi tu!
 
Hapo ndipo mnapofeli kwenye ndoa, wewe na yeye ni mwili mmoja wewe unaogopa nini akishika na kusearch muda wowote??? Vinginevyo mkuu wewe ndiye mwenye matatizo! Wewe ukitaka simu yake muda wowote anakupa???? Kama na yeye anakukatalia basi ndoa Yenu haitafika mbali! Unachodai kuwa kakuzoea mwanzo hakuwa hivyo sio kweli, ulikuwa unatumia ubabe tu! Lakini kiukweli mwanamke yupo sahihi, kama kweli unampenda hupaswi kumwekea mipaka kwenye vyitu vyako, msiwe mnaingia kwenye ndoa kama hamjakomaa akili mkuu! Ndoa ni zaidi ya kufanya mapenzi, ndoa ili iwe na amani hivyi vyitu vinahitajika ( uaminifu, uwazi na msamaha) vyote hivyi vimejengwa kwenye upendo! Kama kweli unampenda huwezi kumpa mipaka kwenye simu! Wewe unaficha nini mkuu??? Tena watu wa aina yako ndio wale hata mshahara wako na kipato chako mke wako hajui ! Mkiendelea kuishi hivyo mkuu hiyo sio ndoa mnaigiza tu!ishini na mwanamke kwa akili mkuu! Jua kwamba ana kili tena yamkini kukuliko tofauti yenu ni maumbile tu!!! Mimi na mke wangu tuna miaka mitano kwrnye ndoa na kila mmoja yupo wazi kwa mwenzake kwa kila kitu kuanzia simu muda wowote anaweza kuchukua simu yangu akakaa nayo hata siku nzimu na wala hakuna shida na mimi hivyo hivyo kwa nini tuogapane na wakati sisi ni mwili mmoja???? Mshahara wangu anaujua na yeye najua kipato chake! Jirekibishe mkuu acha mfumo dume!!
Huwajui wanawake ww. Utakuja kulia saa nne asubuhi huku ukitoa kamasi zito. Ww endelea kuamini

Kuna vitu kama mwanaume lazima uvihifadhi ili uendelee kuwa mpya kwake sasa akijua kilakitu kwako atakuona wa kale huna jipya. Jipange
 
Wanawake akili zao ni za ajabu sana.
Hapo atapata mashangingi ya mjini yanamwambia usishike simu na wewe tafta mwanaume ataanza kuliwa yaani hapo akiliwa ndio atakudharau kama taka hawana akili kabisa hao.
Nakuambia hilo jambo dogo yeye lazima alipeleke kwa marafiki vikoba au kokote wakalikadili watamshauri na yeye aliwe na ataliwa .
 
Huwajui wanawake ww. Utakuja kulia saa nne asubuhi huku ukitoa kamasi zito. Ww endelea kuamini

Kuna vitu kama mwanaume lazima uvihifadhi ili uendelee kuwa mpya kwake sasa akijua kilakitu kwako atakuona wa kale huna jipya. Jipange
Hamna kitu. Ndani nguo unavua zote anakuona kila kitu ila simu asiiguse. Nje unajificha mwili wako wote kwa mavazi ila simu unampa yoyote kuitumia akikuomba hiyo haina shida eti?Mwanaume ni moyo wako ulivyo kwake sio amrinau vitu. Ndoa yangu ina miaka 31. Sina password kwenye simu, yeye hana. Zote zinawekwa mezani bila password tukirudi mezani. Yenye bando ndiyo itakatumiwa na yoyote kati yetu. Tuheshinuni sana ndoa zetu. Nyumbani ndipo pakupe furaha zaidi kuliko popote.
 
Mwananmke akishaanza kuchepuka anakuzoea, anakudharau. hapo anataka ashike simu ili apate ushahidi muachane akaolewe na yule kijana anayemfukunyua had huko kwa piramid
 
Wakuu,

Hapo nyuma mke wangu alikua hajanizoea ye mwenyewe amekiri kwamba alikua ananiogopa.
Kwa upande wangu ilikua burudan ananiheshimu naongea mara moja ananisikia.

Sasa miezi kadhaa naona amenizoea ananipanda kichwani. Tunabishana ukiongea kitu mnazozana.
Baada kuona sina mambo mengi sasa ugomvi wake upo kwene simu.

Mimi nilimkataza asshike simu yangu saizi ndio ugomvi ulipo.mwanzo alikua anachukua maagizo bila maswali saizi home hakukaliki anataka simu yangu. Tena siyo tu kuangalia mara moja anataka awe anaichukua akitaka na kuangalia anachotaka. Sasa naona kama kutakua na shida kubwa huko mbele.

Yaan nimegundua mwanamke hata kama hakuna Tatizo atatengeneza tatizo!
Umekua Sasa mwanangu,nilikwambia mwanzo kua uyaone!
 
Bro wanawake pasua Kichwa sana ww angalia mazuri yake kama unataka Kuishi nae ukimchimba sana hamtakuwa na maisha marefu ktk ndoa yenu
 
Wakuu,

Hapo nyuma mke wangu alikua hajanizoea ye mwenyewe amekiri kwamba alikua ananiogopa.
Kwa upande wangu ilikua burudan ananiheshimu naongea mara moja ananisikia.

Sasa miezi kadhaa naona amenizoea ananipanda kichwani. Tunabishana ukiongea kitu mnazozana.
Baada kuona sina mambo mengi sasa ugomvi wake upo kwene simu.

Mimi nilimkataza asshike simu yangu saizi ndio ugomvi ulipo.mwanzo alikua anachukua maagizo bila maswali saizi home hakukaliki anataka simu yangu. Tena siyo tu kuangalia mara moja anataka awe anaichukua akitaka na kuangalia anachotaka. Sasa naona kama kutakua na shida kubwa huko mbele.

Yaan nimegundua mwanamke hata kama hakuna Tatizo atatengeneza tatizo!
Kwenye uchumba, mwanamke atakufanyia unachotaka. Kwenye ndoa, mwanamke anakufanyia unachomfanyia.

Soma Tena hiyo ili uelewe
 
Back
Top Bottom