Mke wangu ameanza kunizoea. Naona vimigogoro vimeanza

Wakuu,

Hapo nyuma mke wangu alikua hajanizoea ye mwenyewe amekiri kwamba alikua ananiogopa.
Kwa upande wangu ilikua burudan ananiheshimu naongea mara moja ananisikia.

Sasa miezi kadhaa naona amenizoea ananipanda kichwani. Tunabishana ukiongea kitu mnazozana.
Baada kuona sina mambo mengi sasa ugomvi wake upo kwene simu.

Mimi nilimkataza asshike simu yangu saizi ndio ugomvi ulipo.mwanzo alikua anachukua maagizo bila maswali saizi home hakukaliki anataka simu yangu. Tena siyo tu kuangalia mara moja anataka awe anaichukua akitaka na kuangalia anachotaka. Sasa naona kama kutakua na shida kubwa huko mbele.

Yaan nimegundua mwanamke hata kama hakuna Tatizo atatengeneza tatizo!
Anahisi kuna kitu hakipo sawa
 
Huyo Mpe kipi

Huyo mpe kipigo hadi atangazwe kwenye habari ya saa 2 usiku,vinginevyo atakuzowea vibaya.
 
Kwani Hana yake? Haina bundle? Kusearch mpaka kwenye simu Yako? Huyo mwenzetu nae kazidi
 
Huenda umepunguza mapenzi Na attention Kwake hivyo anahisi una mwanamke mwingine apo anatafuta assurance ya anachokiwaza
 
Ndoa za new generation ndiyo hizo! Uje ukute mtu anaachana na mkewe kwa vitu vya kijinga!
 
Back
Top Bottom