Mke wangu ameanza kuvaa chupi aina ya bikini, nilimuonya kabla ila nashangaa amerudia tena

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Jambo Tanzania

Miezi kama nane huko nyuma mke wangu alianza kuvaa chupi aina ya bikini,nikamuonya akaacha,

Sasa juzi kati naona tena kaanza kuzivaa nimemuuliza anasema ndio fashion ya mjini kwa sasa kwani hata mashosti zake wote wanavaa bikini.

Sasa wakuu,binafsi nituonavyo huto tuchupi tumekaa kiumalaya sana.

Nisaidieni mawazo kwenye hili
jambo please..nichukue hatua gani?
 
ndio fashion ya mjini?🐒
 
Achane nae mkuu.
Hutakiwi kulalamika sababu ya mwanamke.

Mfanye awe mchepuko wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…