Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
😄😄😄So mada ya leo tujadili chupi ya mke wako,kweli baba Clara??

Kwani yeye na hao mashosti huwa wanaonyeshana hizo bikini wakiwa wapi?Jambo Tanzania
Miezi kama nane huko nyuma mke wangu alianza kuvaa chupi aina ya bikini,nikamuonya akaacha,sasa juzi kati naona tena kaanza kuzivaa nimemuuliza anasema ndio fashion ya mjini kwa sasa kwani hata mashosti zake wote wanavaa bikini.
Sasa wakuu,binafsi nituonavyo huto tuchupi tumekaa kiumalaya sana.
Nisaidieni mawazo kwenye hili jambo please..nichukue hatua gani?
Baba yake ndio mie! daa binti yangu ameolowa mtu wa hovyo kabisa, sasa hadi humu anatangazwa?Kamsemee kwa baba ake.
Boyfriend wake ndiyo anamlazimisha, hapo hata ukatambike uchi hawezi kukubalia unachomwambia. It's obvious anampenda, anamtii na hataki kabisa kumuudhi mpenzi wake.Jambo Tanzania
Miezi kama nane huko nyuma mke wangu alianza kuvaa chupi aina ya bikini,nikamuonya akaacha,sasa juzi kati naona tena kaanza kuzivaa nimemuuliza anasema ndio fashion ya mjini kwa sasa kwani hata mashosti zake wote wanavaa bikini.
Sasa wakuu,binafsi nituonavyo huto tuchupi tumekaa kiumalaya sana.
Nisaidieni mawazo kwenye hili jambo please..nichukue hatua gani?
Naomba picha yake ili nione kama anafanana na mashosti wa Kinondoni.Jambo Tanzania
Miezi kama nane huko nyuma mke wangu alianza kuvaa chupi aina ya bikini,nikamuonya akaacha,
Sasa juzi kati naona tena kaanza kuzivaa nimemuuliza anasema ndio fashion ya mjini kwa sasa kwani hata mashosti zake wote wanavaa bikini.
Sasa wakuu,binafsi nituonavyo huto tuchupi tumekaa kiumalaya sana.
Nisaidieni mawazo kwenye hili
jambo please..nichukue hatua gani?
😂😂😂kuna jamaa nje anakuchapia sasa kamsifia kamwambia babe ukivaa zile bikini unapendeza mshape unaonekana vizuri hatari 😆
Moghaka pinga hiyo kitu kwa nguvu zoteJambo Tanzania
Miezi kama nane huko nyuma mke wangu alianza kuvaa chupi aina ya bikini,nikamuonya akaacha,
Sasa juzi kati naona tena kaanza kuzivaa nimemuuliza anasema ndio fashion ya mjini kwa sasa kwani hata mashosti zake wote wanavaa bikini.
Sasa wakuu,binafsi nituonavyo huto tuchupi tumekaa kiumalaya sana.
Nisaidieni mawazo kwenye hili
jambo please..nichukue hatua gani?
Anavaa akiwa ndani au akiwa anatoka kwenye mizunguko yake..kama akiwa ndani usimkatazeJambo Tanzania