Mke wangu ameanza kuvaa chupi aina ya bikini, nilimuonya kabla ila nashangaa amerudia tena

Mke wangu ameanza kuvaa chupi aina ya bikini, nilimuonya kabla ila nashangaa amerudia tena

Jambo Tanzania

Miezi kama nane huko nyuma mke wangu alianza kuvaa chupi aina ya bikini,nikamuonya akaacha,

Sasa juzi kati naona tena kaanza kuzivaa nimemuuliza anasema ndio fashion ya mjini kwa sasa kwani hata mashosti zake wote wanavaa bikini.

Sasa wakuu,binafsi nituonavyo huto tuchupi tumekaa kiumalaya sana.

Nisaidieni mawazo kwenye hili
jambo please..nichukue hatua gani?
Daaaah, kashanunuliwa bikini kama zawadi na bodaboda wake....pole sana Mkuu.
 
Anavaa akiwa ndani au akiwa anatoka kwenye mizunguko yake..kama akiwa ndani usimkataze
Akiwa anatoka..akiwa ndani huwa havai chupi
 
Back
Top Bottom