Mke wangu ameanza kuvaa chupi aina ya bikini, nilimuonya kabla ila nashangaa amerudia tena

Kwani yeye na hao mashosti huwa wanaonyeshana hizo bikini wakiwa wapi?
 
Boyfriend wake ndiyo anamlazimisha, hapo hata ukatambike uchi hawezi kukubalia unachomwambia. It's obvious anampenda, anamtii na hataki kabisa kumuudhi mpenzi wake.
 
Naomba picha yake ili nione kama anafanana na mashosti wa Kinondoni.
 
Moghaka pinga hiyo kitu kwa nguvu zote
 
Anavaa akiwa ndani au akiwa anatoka kwenye mizunguko yake..kama akiwa ndani usimkataze
 
Inaonekana mkeo anapenda kusifiwa sana vikalio vikicheza; kuna muhuni anapiga kazi hapo, kuwa makini.
 
Wanandoa mna mambo mengi aiseee..!! 😹
 
Mlete Sisi Tumuonye ❀️ β™₯️
 
Ukishindwa kumdhibiti mkeo basi jua huyo si wako tena, kama amekataa kukusikiliza jitafakari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…