kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 3,150
- 7,790
Daaaah, kashanunuliwa bikini kama zawadi na bodaboda wake....pole sana Mkuu.Jambo Tanzania
Miezi kama nane huko nyuma mke wangu alianza kuvaa chupi aina ya bikini,nikamuonya akaacha,
Sasa juzi kati naona tena kaanza kuzivaa nimemuuliza anasema ndio fashion ya mjini kwa sasa kwani hata mashosti zake wote wanavaa bikini.
Sasa wakuu,binafsi nituonavyo huto tuchupi tumekaa kiumalaya sana.
Nisaidieni mawazo kwenye hili
jambo please..nichukue hatua gani?
Kwanini asmpasue kama KwekaMnunulie chupi unazotaka wewe akigoma kuzivaa leta mada hapa tumjadili
UNAHAMASISHA, MRADI TU TUSIJELAUMIANA! 🥰 🥰Chupi haina tatizo.
Hebu muache mkeo afurahie mwili wake na kufurahia usichana wake.
kuna kina sie tusiovaa chupi kabisa!!! mpka tukitaka kutoka tunakaguliwa.
🎯KWAKWELI!Cha muhimu km una bastola rudisha kituo cha polisi au laah, muachane kwa amani. TANZIA tumetosheka nazo. Lol
Tuko pungufu tukabe kwa nguvuKama mimi jamani hadi nahisi makebo yangu ni AI.
Aisee ..kama ni huko Dar muache tu joto kaliAkiwa anatoka..akiwa ndani huwa havai chupi
Kabeni mpaka mchanganyikiwe.Tuko pungufu tukabe kwa nguvu