Mke wangu ameanza kuwa bonge namimi sipendi mabonge

Kumbe viazi vitamu na magimbi sio wanga? Ziada ya elimu nimepata hapa
 
Mvumilie Tu,azae watoto mnaowataka ndo aanze program za kupunguza mwili!
Sio aanze Sasa hivi akishakaa vizuri Tu umepachika mimba!!
Sio kuwa ndio atakuwa tumso kabisa na asiweze kuwa modo tena
 
Wanawake wakiafrika ndivyo walivyo wakiolewa wanaridhika na maisha ni kujinenepeana tu kama viboko
 
Ubonge hauletwi na kula vya mafuta ,piga marufuku kula wali,ugali ,soda ,vitafunwa vya ngano(msikate ,skonzi,chapati etc).Chagua matunda kuleni parachichi ,Kula magimbi,viazi vitamu,mihogo ,ndizi .Pia msinywe chai asubuhi ,kula ni kuanzia saa nane mpaka saa mbili usiku
 
Wanawake wakiafrika ndivyo walivyo wakiolewa wanaridhika na maisha ni kujinenepeana tu kama viboko
Kabisa kiongozi na akinenepa ndio anaona life kaipatia
 
PIGA VIBOKO AU TIMUA HUO NI UZEMBE MKUBWA SANA
 
Taasisi ya ndoa tunalaani, hizi akili zako. Anyway Mwambie halafu muweke Schedule zenu upya za mtindo wa maisha kiujumla.
Kwanini mnilaani tena kila shetani na mbuyu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…