Mke wangu amebadilika tabia anataka nimnunulie kijibwa

Nenda pale Victoria kwa Mateja utapata vijibwa vya kununua
 
Tatizo la kuishi uswahili na mke asie jielewa
 
Ni PM Mkuu, nikipe JIBWA mbegu ya POLISI.

Naamini ni ndani ya miezi miwili tu, VARANGATI yake, ataomba yeye mwenyewe, UMRUDISHE ulipo mtoa...!!
 
Labda mkeo anataka hicho kijibwa kimlambe lambe.

Yani sijui nimuweke kundi gani,wenzie huku tunataman kumiliki kosta,kuweka mazao hata magunia 1000,kuwa na maisha ya kujiweza.yy anatamani kimbwa,!![emoji17][emoji17].Aseeeee!!sijui mnunulia
 
Kwa kulambalamba nyuchi hivyo vijibwa nasikia viko njema balaa, c.c madam nanliu
 
Yani sijui nimuweke kundi gani,wenzie huku tunataman kumiliki kosta,kuweka mazao hata magunia 1000,kuwa na maisha ya kujiweza.yy anatamani kimbwa,!![emoji17][emoji17].Aseeeee!!sijui mnunulia
Tabia za ajabu kabsaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…