kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Aksante tichaMbwa ni kampani wala hana ubaya, bado ni mlinzi pia ni analeta entertainment hasa kwa watoto wanapata kitu cha kucheza nacho , inavyoonekana unakuwa haupo mara nyingi . Pia vitu vingine fanya uchunguzi tu labda hata uko kwao alipotoka alikuwa nae. Alafu Take care na mambo ya ndani usiyalete huku kwenye jamii forum.
HeheheHahaaa. Ahsante mkuu.
Kuku wapo kwa majirani ila vijibwa hakuna aisee.
Hata dalili hanaLabda mimba changa tu
Nini sasa mkuu?Hehehe
Hivo vijibwa ni vitaalam vya kuingia chumvini.... Take care!Salaam kwenu
Mpaka sasa wadau naona kama ndoa imeingiliwa na jinamizi na mpaka sasa naona tabu,mke wangu amebadilika kisa hapo jirani kuna mtu ana kijibwa na yeye amekuja juu anataka kijibwa,kwanza nataka kujua mpaka hii kesi nimeileta hapa
1.Kijibwa kina faida gani hakileti hata maziwa
2.kina raha gani kwa waliowahi kukifuga
3.Na ni bei gani kinauzwa
Ni hayo tu zaidi ya hapo nina peni na karatasi hapa mkononi mwangu
Hehe naona ule usemi wa kwamba wanawake wanaogopa hadi mende umetimia.Nini sasa mkuu?
Hao wanaweza pia kuwa dawa ya hizo chuchu zinamuuma... ..nyoka mzee anakuja sasa hivi utapata dawaMm mwenyewe napenda sana mbwa wa kufugwa hasa hasa wa kizunguuu, napenda mnoo kufuga fuga
Hahaaa. Haya bana ila vijibwa sio aiseeHehe naona ule usemi wa kwamba wanawake wanaogopa hadi mende umetimia.
Kijibwa ni nini?Aisee
Watu wana wivu, Ko Jirani akinunua paka nae ataka...
Muulize basi jirani bei ya kijibwa naamini atakuambia mkuu
rafk uskute unayaogopa Yale makubwa kama ya police!Daa. Aisee rafiki mi na vijibwa tupo tofauti kwanza kiukweli naviogopa hatarii
Nilitaka nikuoe sasa basi tena maana ninavyo vingi. HeheheHahaaa. Haya bana ila vijibwa sio aisee
Gs! Njoo nikuongezeeWaooo yaani napenda mbwa hasa wale wa kizungu,mnunulie tu bhana usiwe mchoyo kwa mkeo
Mbwa mdogoKijibwa ni nini?
Kama huyu post ya 92[emoji121]Mbwa mdogo
Bora aisee mana hata sitaki kuishi kwa wasiwasi.Nilitaka nikuoe sasa basi tena maana ninavyo vingi. Hehehe
Nakumbuka zile staili za dogi akipachika ngoma kwenye papuchi inanata zaidi ya masaa mawili,hivi akiwa na binadamu ni vivyoivyo pia? mnijuze wadauHahaaa
Uwii [emoji134] [emoji134].Gs! Njoo nikuongezee