Mke wangu amebadilika tabia anataka nimnunulie kijibwa

Mke wangu amebadilika tabia anataka nimnunulie kijibwa

Mbwa ni kampani wala hana ubaya, bado ni mlinzi pia ni analeta entertainment hasa kwa watoto wanapata kitu cha kucheza nacho , inavyoonekana unakuwa haupo mara nyingi . Pia vitu vingine fanya uchunguzi tu labda hata uko kwao alipotoka alikuwa nae. Alafu Take care na mambo ya ndani usiyalete huku kwenye jamii forum.
Aksante ticha
 
Salaam kwenu
Mpaka sasa wadau naona kama ndoa imeingiliwa na jinamizi na mpaka sasa naona tabu,mke wangu amebadilika kisa hapo jirani kuna mtu ana kijibwa na yeye amekuja juu anataka kijibwa,kwanza nataka kujua mpaka hii kesi nimeileta hapa

1.Kijibwa kina faida gani hakileti hata maziwa
2.kina raha gani kwa waliowahi kukifuga
3.Na ni bei gani kinauzwa

Ni hayo tu zaidi ya hapo nina peni na karatasi hapa mkononi mwangu
Hivo vijibwa ni vitaalam vya kuingia chumvini.... Take care!
 
Daa. Aisee rafiki mi na vijibwa tupo tofauti kwanza kiukweli naviogopa hatarii
rafk uskute unayaogopa Yale makubwa kama ya police!
Wenzio wanafuga vile vidogo kama sungura, vyenye kichwa kidogo Ila mdomo mpana na vinabonge LA ulimi!!
Ulimi na mdomo ndo dili!
 
Waooo yaani napenda mbwa hasa wale wa kizungu,mnunulie tu bhana usiwe mchoyo kwa mkeo
Gs! Njoo nikuongezee
be2397e43901bc9c83c60482f17b8969.jpg
 
WANAUME WA DAR BHANA.. HADI VITU VIDOGO MNASHINDWA KUAMUA?

MNUNULIE MBWA MKEO AINGILIWE UPANDE WA PILI.. NDO KITU PEKEE ALICHOKIONA KWA JIRANI KAMA FAIDA YA HUYO MBWA.
 
Back
Top Bottom