Mke wangu amebadilika tabia anataka nimnunulie kijibwa

Mke wangu amebadilika tabia anataka nimnunulie kijibwa

Salaam kwenu
Mpaka sasa wadau naona kama ndoa imeingiliwa na jinamizi na mpaka sasa naona tabu,mke wangu amebadilika kisa hapo jirani kuna mtu ana kijibwa na yeye amekuja juu anataka kijibwa,kwanza nataka kujua mpaka hii kesi nimeileta hapa

1.Kijibwa kina faida gani hakileti hata maziwa
2.kina raha gani kwa waliowahi kukifuga
3.Na ni bei gani kinauzwa

Ni hayo tu zaidi ya hapo nina peni na karatasi hapa mkononi mwangu
Na siku ukikuta kwenye sim ya mkeo kuna videos za pilau(X-Videos) kacheza huyo mkeo na icho ki mbwa usisahau kutuletea hapa na sisi tuone......
 
Mnunulie cha kike...... Usipende mnyima mkeo avipendavyo kama uwezo unao wa kununua! Hayo ya kusema kambwa kanakua kabwana mdogo cjui kama yanaukweli wwte. Nunua ndugu yangu kama pesa ya kununua unayo....NUNUA
 
Aksante ushauri nitaufanyia kazi
 
Eeeeeh

Tena ukimpatia Chihuahua ndio eeeeeh, wanawake wengi wanawapenda sana haswa huko kwenye nchi za wenzetu. Wanawasaidia kwenye mengi

Nisivyooenda mbwa, paka sitaki kufikiria eeeeh

Msalie, labda kaambiwa raha ya kuwa na mbwa pia wanalinda vizuri.
 
Back
Top Bottom