Kingeke Mavoya
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 619
- 598
Dah... Sijaelewa sana ila ninachojua yeye ndo anayetakiwa akupe sababu ya kuhitaji hicho kijibwa ukimuelewa mnunulie ila akikuzingua achaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmmhMm mwenyewe napenda sana mbwa wa kufugwa hasa hasa wa kizunguuu, napenda mnoo kufuga fuga
Ushauri safiiDah... Sijaelewa sana ila ninachojua yeye ndo anayetakiwa akupe sababu ya kuhitaji hicho kijibwa ukimuelewa mnunulie ila akikuzingua achaaaaa
Tetetetetetehahahahha hilo nalo nenoHivi vijibwa wakati mwingine vinafanya mapenzi na binadamu.Kuwa makini kwa uamuzi wowote.
Sasa hii ndio hatari nimetafuta nyingi nasaba sasa napata......
Wala ila napendaMmh haya mkuu naona na wewe umeamua kuamsha dude
Na siku ukikuta kwenye sim ya mkeo kuna videos za pilau(X-Videos) kacheza huyo mkeo na icho ki mbwa usisahau kutuletea hapa na sisi tuone......Salaam kwenu
Mpaka sasa wadau naona kama ndoa imeingiliwa na jinamizi na mpaka sasa naona tabu,mke wangu amebadilika kisa hapo jirani kuna mtu ana kijibwa na yeye amekuja juu anataka kijibwa,kwanza nataka kujua mpaka hii kesi nimeileta hapa
1.Kijibwa kina faida gani hakileti hata maziwa
2.kina raha gani kwa waliowahi kukifuga
3.Na ni bei gani kinauzwa
Ni hayo tu zaidi ya hapo nina peni na karatasi hapa mkononi mwangu
napenda mnoo kufuga fuga
Unaguna nnMmmmh
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]angalia na wewe utafugwa ohooo
Anataka kijibwa hua vinazama chumvini kaka.
Aksante ushauri nitaufanyia kaziMnunulie cha kike...... Usipende mnyima mkeo avipendavyo kama uwezo unao wa kununua! Hayo ya kusema kambwa kanakua kabwana mdogo cjui kama yanaukweli wwte. Nunua ndugu yangu kama pesa ya kununua unayo....NUNUA
Fuga hata ndevu mkuu ukikosa kijibwaMm mwenyewe napenda sana mbwa wa kufugwa hasa hasa wa kizunguuu, napenda mnoo kufuga fuga
Naiona daliliHuyo anakutafutia sababu tu
Hii ni hatari nyingine kubwausinunue mkuu kitatumia papuchi yako.usikubali kushea na mbwa papuchi kabisa.