Njiti sio Mlemavu, acha upotoshaji hapa.Kama wewe sio mzima, una upungufu wa namna fulani, utasema wewe ni nani?
Kama una kasoro fulani inayokufanya uwe tofauti na binadamu mzima, Je wewe utaitwa nani?
Ni kama wale wanaoenda hospitali hawana hata beseni la kujifungulia. Wanataka hospitali iwaandalie.Mleta mada kakaa miezi saba na mjamzito,leo anasema ni dharula
Watu wanazaa, hasa wanaume wanafanya hivyo ili kuonesha ulijari, na kuepuka kuambiwa ni Shoga.
Mtaani huku unakuta mtu hata yeye binafsi hajiwezi, ila anakazana kutafuta mwenza wapate watoto, ili kuepuka adha ya kunyooshewa kidole na jamii. Lol
Tena hatarii kubwa sana.Kama ni kweli hii ni hatari
Asante sanaView attachment 3532739
Watafute Hawa
Ndiyo.Ulemavu ni nini?
Mtoto Njiti anaweza kurudi hali ya kawaida kabisa akawa sawasawa a mtoto mzima?
SawaNi kama wale wanaoenda hospitali hawana hata beseni la kujifungulia. Wanataka hospitali iwaandalie.
Watu wana pelekeana tu moto, wanadhani wanapopoa maembe mtini. Hawafikirii kwamba uzazi na watoto ni gharama.
Ulemavu ni nini?
Mtoto Njiti anaweza kurudi hali ya kawaida kabisa akawa sawasawa na mtoto mzima?
Utaandaje gharama ya ujenzi bila kuonana na mafundi ujenzi?Sawa
Unaweza andaa M10 kwa ajili ya ujenzi na siku ya ujenzi ujafika fundi akakwambia gharama Ni 50M unasemaje Apo mkuu
Zimefanyaje hizo ili niseme?Unasemaje kuhusu NJITI au sindano
Premature babies wamekuwa wakizaliwa toka mwanzo wa dunia.Uzazi wa siku hizi changamoto zimekuwa ni nyingi sana.
Nilichanganya hapo.Daah π
Kumbe njiti anabaki na ULEMAVU wake wa kinjiti πππ
Njiti sio mlemavu. Amezaliwaa kablaa ya muda hivyo ana special care fulani hadi atimize uzito na asiwe na changamoto nyingine.Kauli za kiwaki hizi.
Ushukuru ulemavu?
Huyo Mungu kwa nini anafanya wengine wazaliwe wazima na wengine walemavu?