Mke wangu amejifungua mtoto njiti nibaki sielewi kabisa

Habari za mida hii wakuu natumai mko salama

Leo Ni siku ambayo siko siko sawa psychologically😔

Ndio Mara yangu ya kwanza kuingia katika maswala ya uzazi yaani kupata mtoto

Ya Mungu mengi kwa Hali isiyotegemewa mchana wa leo mwali wangu aliniita home akidai anasikia maumivu makali KIUNONI ya kubana Sana Kisha na kuachia Mimi mwenyewe bado mgeni nikawa sijaelewa vizuri bado ikabidi nimchek sister akaja ndio akamuita mama pia wakaniomba kiasi kadhaa wamuwahishe kituo Cha afya
Alipelekwa na ilipofika mida ya jioni nikaenda kucheki kinachoendelea naambiwa kajifungua mtoto NJITI (miezi7)

Imenishtua kiasi ukiunganisha na ugeni was Mambo ya uzazi

Hivi navoongea nimeshakomba kipa Senti iliyokuepo na kuuza simu kubwa niliyokua natumia means hapa nimeingia kwa mtu

Na mpaka Sasa tumepeleka hospitali ya rufaa kwa maelekezo but hapa nimekwama kabisa ndugu zanguni😔
Kuna pesa zinahitajika mno
Nimevunjika moyo
Kawaida tu ,atakua fresh ,fuata ushauri wa Drs.
 
Pole kwa changamoto.

Mpeleke hospital ya amana huduma ni bure.
Pia wasiliana na taasisi ya DORICE MOLLEL wanatoa huduma kusaidia njiti
 
Habari za mida hii wakuu natumai mko salama

Leo Ni siku ambayo siko siko sawa psychologically😔

Ndio Mara yangu ya kwanza kuingia katika maswala ya uzazi yaani kupata mtoto

Ya Mungu mengi kwa Hali isiyotegemewa mchana wa leo mwali wangu aliniita home akidai anasikia maumivu makali KIUNONI ya kubana Sana Kisha na kuachia Mimi mwenyewe bado mgeni nikawa sijaelewa vizuri bado ikabidi nimchek sister akaja ndio akamuita mama pia wakaniomba kiasi kadhaa wamuwahishe kituo Cha afya
Alipelekwa na ilipofika mida ya jioni nikaenda kucheki kinachoendelea naambiwa kajifungua mtoto NJITI (miezi7)

Imenishtua kiasi ukiunganisha na ugeni was Mambo ya uzazi

Hivi navoongea nimeshakomba kipa Senti iliyokuepo na kuuza simu kubwa niliyokua natumia means hapa nimeingia kwa mtu

Na mpaka Sasa tumepeleka hospitali ya rufaa kwa maelekezo but hapa nimekwama kabisa ndugu zanguni😔
Kuna pesa zinahitajika mno
Nimevunjika moyo
Uingixee wewe

Akutunzie mwingine

Hajazaliwa wa aina hioo mkuu
Mushaurii

Fb

Kuna jamaa wa chadema twaha mtumie kule akiweka fb dk 0 una mzigo ana nyota sana kuchangiwa akiweka kitu
Advs
 
Habari za mida hii wakuu natumai mko salama

Leo Ni siku ambayo siko siko sawa psychologically😔

Ndio Mara yangu ya kwanza kuingia katika maswala ya uzazi yaani kupata mtoto

Ya Mungu mengi kwa Hali isiyotegemewa mchana wa leo mwali wangu aliniita home akidai anasikia maumivu makali KIUNONI ya kubana Sana Kisha na kuachia Mimi mwenyewe bado mgeni nikawa sijaelewa vizuri bado ikabidi nimchek sister akaja ndio akamuita mama pia wakaniomba kiasi kadhaa wamuwahishe kituo Cha afya
Alipelekwa na ilipofika mida ya jioni nikaenda kucheki kinachoendelea naambiwa kajifungua mtoto NJITI (miezi7)

Imenishtua kiasi ukiunganisha na ugeni was Mambo ya uzazi

Hivi navoongea nimeshakomba kipa Senti iliyokuepo na kuuza simu kubwa niliyokua natumia means hapa nimeingia kwa mtu

Na mpaka Sasa tumepeleka hospitali ya rufaa kwa maelekezo but hapa nimekwama kabisa ndugu zanguni😔
Kuna pesa zinahitajika mno
Nimevunjika moyo
Ni bikra uliyempata JF au

Ulishawahi kuugua ukichaa?
 
Majibu ya humu miaka inavyozidi kwenda sijui watu wanazidi kuchanganyikiwa ama ni afya ya akili haipo sawa.😃🙌

Usiogope mzee .....fuata ushauri ulotolewa na wadau kwa experience zao za masuala ya uzazi...mtoto atakuwa vyema. Shukuru Mungu kwa yote na pambana kwa ajili ya familia yako mpya hiyo. Ukubwa sasa umekwisha kufika ila hupaswi kuonesha umechanganyikiwa kwa Mama mtoto maana anakutegemea wewe na pia uwe nae bega kwa bega nae kisaikolojia atakua hayupo sawa.
Kila kitu kitakaa poa Mzee baba usiwaze ila pambana...
 
Habari za mida hii wakuu natumai mko salama

Leo Ni siku ambayo siko siko sawa psychologically😔

Ndio Mara yangu ya kwanza kuingia katika maswala ya uzazi yaani kupata mtoto

Ya Mungu mengi kwa Hali isiyotegemewa mchana wa leo mwali wangu aliniita home akidai anasikia maumivu makali KIUNONI ya kubana Sana Kisha na kuachia Mimi mwenyewe bado mgeni nikawa sijaelewa vizuri bado ikabidi nimchek sister akaja ndio akamuita mama pia wakaniomba kiasi kadhaa wamuwahishe kituo Cha afya
Alipelekwa na ilipofika mida ya jioni nikaenda kucheki kinachoendelea naambiwa kajifungua mtoto NJITI (miezi7)

Imenishtua kiasi ukiunganisha na ugeni was Mambo ya uzazi

Hivi navoongea nimeshakomba kipa Senti iliyokuepo na kuuza simu kubwa niliyokua natumia means hapa nimeingia kwa mtu

Na mpaka Sasa tumepeleka hospitali ya rufaa kwa maelekezo but hapa nimekwama kabisa ndugu zanguni😔
Kuna pesa zinahitajika mno
Nimevunjika moyo

Mjomba, pambana tu na hali yako. No way out.
 
Back
Top Bottom