Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
jibu la kikatili sana hiliPole , ila kabla haujafungua zipu kuichakata ulipaswa kujipanga kifedha.
jibu la kikatili sana hiliPole , ila kabla haujafungua zipu kuichakata ulipaswa kujipanga kifedha.
Soma maneno yako hapo chini 👇Na hakuna mahali nimeandika wameanza kuzaliwa leo!!
Ndiyo sababu nikasema changamoto hiyo ya kuzaa premature baby (mtoto njiti) siyo ya uzazi wa siku hizi pekee. Nimesema ilikuwepo tangu mwanzo wa dunia.Uzazi wa siku hizi changamoto zimekuwa ni nyingi sana.
Pole sana mdogo. Mungu amuweke mtoto mahali pema.NASHUKURU KWA MASHAURI YENU NYOTE
mtoto ameaga dunia usiku huo huo wa Jana🙏🙏
Uzi ufungwe niwatakie mafanikio mema #mwishomwema
Watu waana stress sasa wanatafuta pa kutolea stress zao ndio unawaona kwe ye mada kama hizi.Majibu ya humu miaka inavyozidi kwenda sijui watu wanazidi kuchanganyikiwa ama ni afya ya akili haipo sawa.😃🙌
Usiogope mzee .....fuata ushauri ulotolewa na wadau kwa experience zao za masuala ya uzazi...mtoto atakuwa vyema. Shukuru Mungu kwa yote na pambana kwa ajili ya familia yako mpya hiyo. Ukubwa sasa umekwisha kufika ila hupaswi kuonesha umechanganyikiwa kwa Mama mtoto maana anakutegemea wewe na pia uwe nae bega kwa bega nae kisaikolojia atakua hayupo sawa.
Kila kitu kitakaa poa Mzee baba usiwaze ila pambana...
Umesahau maisha ya kibongo boss we mgeni TZ?Sasa Mwanamke mpaka anafikisha miezi 7 hujajiandaa kiuchumi kupokea mzazi na mwanao?
Hebu acha madeko
Pole Sana mdau 🙁🙁🙁🙁Moyo wangu umehuzunika sana nadhani mtoto amekosa treatment sahihi kulingana na mazingira uliyokuwepo!!!NASHUKURU KWA MASHAURI YENU NYOTE
mtoto ameaga dunia usiku huo huo wa Jana🙏🙏
Uzi ufungwe niwatakie mafanikio mema #mwishomwema
Wewe huwajui matajiri wa JF?Umesahau maisha ya kibongo boss we mgeni TZ?
Pole sana nilidhani unatania! Kumbe ni ukweli. Pole sana nduguNASHUKURU KWA MASHAURI YENU NYOTE
mtoto ameaga dunia usiku huo huo wa Jana🙏🙏
Uzi ufungwe niwatakie mafanikio mema #mwishomwema
Nilitaka nimjibu kama wewe ila ngoja nipandilie hapaMtoto njiti mbona akitunzwa vizuri anakua fresh tyuu,
Nimeshuhudia mtoto wa uncle alizaliwa njiti, leo kawa kijana wa maana kabisa.
Ukiambiwa alizaliwa njiti huwezi amini.
Maisha ya kibongo yanasababisha usahau kuwa una mzazi siku chache zijazo?Umesahau maisha ya kibongo boss we mgeni TZ?
Bado hakuna uhusiano na nilichoandika mimi.Soma maneno yako hapo chini 👇
Ndiyo sababu nikasema changamoto hiyo ya kuzaa premature baby (mtoto njiti) siyo ya uzazi wa siku hizi pekee. Nimesema ilikuwepo tangu mwanzo wa dunia.
Nyie watu mnaojiona maisha yenu yako sorted kuna siku mtajifunza tu. Wewe una akiba ya kutosha changamoto ya afya ya aina yoyote ikikutokea? Kwa mawazo yako unafikiri njiti unategemea atazaliwa lini/hivyo? Hospitali wanakupa tarehe mtoto anazaliwa lini. Mara ghafla mama anapata issue inabidi wamtoe mtoto akiwa na miezi saba, unajua huduma anayopewa hadi uruhusiwe kwenda nae nyumbani? Acheni maneno mkiwa nyuma ya keyboard huku mtaani maisha sio rahisi kama mnavyofikiria.Maisha ya kibongo yanasababisha usahau kuwa una mzazi siku chache zijazo?
Ni upumbavu tu na kujiona wama maisha fulani sorted.Humu Kuna baadhi wana kauli dah🙌,
Shida ni stress au Nini!!!,,naamini sote ni watu wazima humu na Kila mtu na maisha yake,lkn mjifunze kunyamaza.
Mada kuu inahusu njiti (premature baby).Bado hakuna uhusiano na nilichoandika mimi.
Wewe umeng'ang'ania premature, Mimi nimezungumzia ONGEZEKO la CHANGAMOTO ZA UZAZI kwa ujumla wake!
Umeona njiti kwenye hiyo comment?
Maisha ya kibongo yanasababisha usahau kuwa una mzazi siku chache zijazo?
Sawa Mkuu, nisamehewe tu sikuwaza hayo.Nyie watu mnaojiona maisha yenu yako sorted kuna siku mtajifunza tu. Wewe una akiba ya kutosha changamoto ya afya ya aina yoyote ikikutokea? Kwa mawazo yako unafikiri njiti unategemea atazaliwa lini/hivyo? Hospitali wanakupa tarehe mtoto anazaliwa lini. Mara ghafla mama anapata issue inabidi wamtoe mtoto akiwa na miezi saba, unajua huduma anayopewa hadi uruhusiwe kwenda nae nyumbani? Acheni maneno mkiwa nyuma ya keyboard huku mtaani maisha sio rahisi kama mnavyofikiria.