Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
Brother ninacheka sio kwa kisa chako lah
Ila najua nini unamaanisha
Pitia uzi huu
www.jamiiforums.com
Mimi Ninachoshauri mchape viboko yaishe muache mlee watoto wako
Wanawake wa sasa mtihani sana
Mimi binafsi nina miaka 34
Nishaoa na kuacha mara 3
Huyu wa sasa nikasema siachi nakomaa nae hivyo hvyo
hizo tabia za mke wako 80% ya wanawake walioolewa wanazo ni wajinga na washenz
i
Muhimu fanya mambo yako kwa malengo huyo mtu si wa kumpangia katika future zako
yupo au amerudi tuseme unaishi nae 7bu hakuna sehemu nyingne ya kuegemea hakuna mapenzi kwako
zaidi amepata sehemu ya kujibanza jua
Siku akipata kivuri anakukimbia au atakuletea dharau mpk utaamua kusalenda mwenyewe
So ishi nae 7bu ya malezi ya watoto wako
hauko peke yko tupo wengi tunaishi tu na wake zetu 7bu tunawapenda na kuwajali watoto zetu7bu hatujazoea kutelekeza watoto la sivyo tungekuwa tushapiga chini haya matatizo
Zingatia usizae nae tena watoto wengne kwa sasa vumilia miaka 3 au 4 wote wakue then utajua sasa hapo ufanye nini
Ila najua nini unamaanisha
Pitia uzi huu
Mke ni mama wa watoto wako, tafadhali wachagulie kilicho bora
Ndugu zangu! Hii ni zawadi kubwa na ya kwanza unayoweza kuwapatia wanao kabla hata hawajazaliwa. Wapende na uwaheshimishe wanao, wachagulie mama bora chini ya jua. Hata kwa mujibu wa mandiko matakatifu, Jehova alifanya vivyo hivyo. Na hata Yesu alipoandaliwa mwana-punda, ni yule asiyepandwa...