Basi wachache mko hivyo..Wengi wanapenda wa sampuli hii..Hapana Kaboom . Maandiko yanataka tuwaheshimu wanaume, na heshma haiombwi wala hailazimishwi.... vile mwanaume aishivyo ndivyo anavyojijengea heshma
Raha ya mwanaume awe mkali na mwenye maupendo tele
Mkuu , kwa maelezo ya mtoa mada ni kwamba,Kaka tafuta hata ndugu, sista zetu wa vijijini aje akushikie nyumba. Huyo sio mwanamke. Utakuja nikumbuka siku moja. Ukiachilia kwenda kuliwa, je wezi wangekuja kuiba vitu? Mi mtu ambae hajali
Mkuu unge shauri nifanye je niache kazi, nikae nyumbani kumpa mda mke ndo asiondoke next time? Au? mimi nikitoka safarini nakaa home 24/7 sinaga vijie va kwenda kupoteza mda mipira naangaliaga home, kwahiyo kwangu naona hiyo sio sababu au unataka niwe nasafiri nae popote napo enda?Mkuu , kwa maelezo ya mtoa mada ni kwamba,
Baada ya kurudi safari, nyumbani hakumkuta mke wake , lakin alikuta gari yake na vitu vingine vyote vikiwa salama..
Ha ha ha ha mkuu unataka barter trade zama hizi.Mkuu hili nakupa kabisa we tuma fare uko mkoa gani? Aje ila kwa mda uniachie wakwako nione kama kweli ulimfunza vizuri.
Umeandika sex kwa mazingira, kumoelekea moto ndiyo kumfanya nini?Wap nimeandika sex.
Pole sana kwa matatizo hayo mkuu, je bado unampenda, na unahisi huyo mwanamke anakupenda??Mkuu ungeshauri nifanye je niache kazi, nikae nyumbani kumpa mda mke ndo asiondoke next time? Au mimi nikitoka safarini nakaa home 24/7 sinaga vijie vakwanda kupoteza mda mipira naangaliaga home, kwahiyo kwangu naona hiyo sio sababu au unataka niwe nasafiri nae popote napo enda?
Mbona siyo vingi? Kama vipi apigwe ban/suspension miezi 3.... [emoji23] [emoji23]Viboko vitano? Eboo!!
Mkuu usimchape.ni mtu mzima huyo
Mkalishe tena mpe last warning.mwambie yeye ni MTU mzima,pia ni mke wa mtu zaidi ni mama Na familia yake..matendo yote atakayofanya awe anafikiria hizi tittle zake kwanza.
Hata kama anapapenda kwao na kujiskia more comfortable kuishi kwao.akumbuke alishaolewa na kuachana na kwao.ana kwake anapohitajika kupatunza na kupalinda.basi kama anaogopa kuishi peke ake ikiwa haupo aite hata ndugu mmoja aje aishi nae.ukirudi ataondoka.
Waza kaacha nyumba mwezi mzima na Giza usiku mnene vibaka wakavunja na kuingia ndani wakaiba.gari likanyofolewa vifaa.hasara ya nani?
MPE semina huyo mkeo.akili zake bado.
Ni kweli hakuwa kwa dadake huyu, chunguza kwa makini kabla hujamrudiaHuyo hakutaki na dada yake anajua mengi.Achana nae tu ulee watoto wako.Kamwe usilazimishe mapenzi kwa namna yoyote.
Tafauta mwanamke awe mfanyakazi wa hapo umlipeNashukuru kwa ushauri sasa akiondoka nani asimamie maendeleo nyumbani hiyo nichagamoto pia, nakuleta mke mgine naona itakua too much huyu ni watatu nikifikisha wanne jamii itaniona kama mimi ndomwenye tatizo
Sitamfanya chochote usiwe na hofu mkuu we niambie nimfuate alipo ili nikuachie hili la kwangu li bomu ulione kama utapata usingizi......Ha ha ha ha mkuu unataka barter trade zama hizi.
We unSema.mwei hapa nilipo nilitibua ndoa mwaka jana maezi wa 3 hadi leo hola na kila mtu amekomaa naona tunafika mwisho soon nimeongea miei 2 ikifika june napiga hini taasisi ya ndoaKweli mkuu umesema ukweli, ni miezi miwili cijakutana namwana mke yoyote kwasabb ya safari, ila sina hamu nae kabisa kalala mie niko sembuleni na citamgusa kabisa paka pale nafsi itakapo ridhia......jamani wanawake ni mtihani mkubwa