Nilivo safari kuenda kwenye shughuri zangu za biashara takarbani mwezi moja na nusu, jana nilirudi nikakuta mke wangu haipo kasafiri na kuenda kwa Dada yake kukaa uko na nyumbani hamna mtu yoyote kuna giza kwote, nikakagua nyumba yote na Kigari changu nikaona vyote viko salama nikamshukuru Mungu kwa hilo, nilienda kwa majirani labda wana taarifa yoyote ka wachia na iko wapi wakaniambia huyu haipo nyumbani karibia mwezi na wiki nili duwaa!!!!
Nikampiga simu yake, mbona haupo nyumbani uko wapi? kaniambia iko kwa Dada yake Kinondoni nikamuomba anipe funguo wa nyumbani nipate kuingia na kupumuzika, ka nialekeze nije nimsubirie kwenye kituo fulani nikaenda faster usiku huo nilivo fika nikampigia simu takribani dakika 10 Dada mtu kajitokeza na funguo akanipa siku msemesha kitu nikaondoka zangu paka nyumbani nikaingia ndani nikaona kila kitu kipo sawa ila kuna dalili zakua nyumba imekaa zaidi ya mwezi bila watu.
Sikumpigia simu tena kwasababu nilikua na hasira za kufa mtu nikajipa time nitulie kwanza, ila nilikua najiuliza huyu mwana mke nimfanye nini, kumtimua sio rahisi kwasababu ana kitoto changu kichanga mwaka moja na nusu kina nyonya, kwao hakuna mazingira mazuri kulea mtoto japo wanaishi Town ila mama alie kua nguzo ya familia alisha fariki, Baba ake kasha sitaafu maisha yao kwa jumla sio, hawana wakika wa kula milo mitatu, nyumba yao niya urithi tena wako zaidi ya watoto nane.
Mimi niko 38 na mke wangu iko 34 kumuacha manaake ni wakika wa kulea watoto wangu wawili utakua mgumu lakini kwasababu kipato chao ni duni sanaa, huyu mwana mke kanifanyia visa vingi kwanza ni muongo sana alisha wahi kunificha kifo cha Mama ake kasha niongopea mambo mengi lakini kwasababu hayana madhara ya moja kwa moja na ya puuzia tu, nilifikia maamuzi mtoto wetu wa std 4 kumpeleke shule ya bweni sio kwamba nilipenda hapana kumuepusha kuiga tabia mbaya za mama ake.
Niseme tu mimi sina bahati katika kupata mke sahihi, kwasababu kabla ya huyu nilikua kuna Dada moja tume date nae takribani miaka 4 tukabahatika na kupata mtoto kilicho kua kime bakia nikuenda ku kujitamblisha kwao tu, ila yule demu hapana, alikua anasafiri almost kila weekend yani yeye nasafari za kuenda makwao, aruhusi, mauleedi Dua, yalikua too much paka makonda wa ma busi ya kuenda Tanga wakaanza kumjua alikua anajua mabus yote ya route iyo duh nikaona huyu anifae kabisa nikampiga chini.....sasa this time nikashirikisha wazee wangu wanitafutie mke serious kwa kweli wazee hawakuchelewa wakaniambia tayari njoo muonane nikaenda nikaridhia na nikafanya utaratibu wa kumchukua, nilikaa nae kama mienzi mitatu duh nikaja kumkuta kumbe anakula mirungi (veve) nilichoka nikaona sina namna(mke wakutafutiwa ni shida). ndo nikaja kumpata huyu, ila nimemchoka vituko vyake ila sina lakufanya, pesa yangu elimu yangu havinisaidie kwasasa isipo kua uvumilivu tu.
Leo kama saa nane huyu bibie (mke) kanipigia simu kuniuliza hatima yake.....nikamwambia mie siwezi kuongea hi issue kwenye simu pata sehemu tuongea ana kwa ana akanielekeza pa kumkuta tuyaongee, nikaendesha ki (baby walker) changu paka pale, nilivo fika akaanza kua mkali najifanya kuleta mambo ya nyuma nikawa kimya kwasabb alilenga kuniondoa kwenye mada, tu nikamuuliza anataka lipi kajibu kurudi nyumbani kwanini ulipacha eti ana paongopa duh nikamuuliza sasa ukurudi unaenda kukaa nani kwasababu baada ya wiki moja naenda kusafiri tena utapakimbia
? akasema hapana eti hatarudia. Ila huyu mama muongo mambo mengi anaapa ila anayarudia tu.
To cut the story short nilimpa option tatu achague moja. Kum -suspend kwa miazi mitatu akiwa kwao au aombe talaka au nimpige viboko vitano. Kaamua nimchape viboko vitano yaishe. ila personally am not a violent man na sijawahi kuchapa mke yoyote ili jambo hili lime nipa wakati mgumu sanaa, namimi sitaki unafiki nataka nafsi yangu iridhike, akifanya adhabu yangu yoyote.
Wakuu ndo nimemfikisha home sina hata 30minutes sijui ndo ni mchape au kuna adhabu nyingine zaidi ya hiyo mnishauri, ila kumbukeni huyu mwana mke ni msumbufu sanaa muonģo ila sijawahi kupata ushahidi wowote wa uzinzi kwake. Naomba ushauri na uzoefu wenu ahsanteni.