Mke wangu amekubali nimuadhibu viboko vitano ili yaishe

Huyu mwanamke kweli hakuwa kwa dada yake ndiyo maana aliyrlrta funguo dada yake. Mwanamke ana bwana na dada yake anamjua huyo bwana.
Yani sijui huyu jamaa karogwa anashindwa hata chambua mambo.
Hilo wazo lakua na bwana wake bado halijaniingia kwasababu hi kipi kilimuzuia kumleta bwana ake nyumbani? wakati iko peke yake nyumbani na kuna uhuru na ulinzi wakutosha, pamoja na hayo huyu mwanamke akili zake nazijua sio za kufuata bwana 'libido' yake iko low sanaa pia simu yake na imonitor bila yeye kujua hamna kitu kama mahusiano naona ni ujinga na makuzi ma mambovu kutoka kwa wazazi wake.
 
Jamaa ni Boya Pro Max! Yani mwanamke ambaye yuko chini yangu akifanya hilo nafukuza mapema sana sijulizi hata mara 2
 
Ivi nikisema hii chai ntakuw mkorofi [emoji39][emoji39]
Sidhani kama utakua sahihi sioni lengo la kuleta uongo hapa am not of that kind ila bado una uhuru wa fikra zako na kuongea unacho taka.
 
Hilo wazo lakua na bwana wake bado halijaniingia kwasababu hi kipi kilimuzuia kumleta bwana ake nyumbani? wakati iko peke yake nyumbani na kuna uhuru na ulinzi wakutosha, pamoja na hayo huyu mwanamke akili zake nazijua sio za kufuata bwana 'libido' yake iko low sanaa pia simu yake na imonitor bila yeye kujua hamna kitu kama mahusiano naona ni ujinga na makuzi ma mambovu kutoka kwa wazazi wake.
Kama bwana anapanga atamfuata huko huko. Hujiulizi kwanini alisema mkutane kituoni? Ina maana angekwambia ufke kwa dada yake usingemkuta hakuwa kwa dada yake.
Kama angekuwa kwa dada yake kwanini hakuleta funguo mwenyewe?
 
Kampan kampan kampan
Unajua ndoa nyingi za sku hz hazdumu kwasababu tunapenda kuishi wawili tu na watoto wetu.
Ukute n kwel anaogopa,cha kufanya mlete dada ako au mdogo wako wa kiume au mdogo wake wa kike ampe kampan

Zaman watu waliishi kicompound hata mlikuwa wanandoa mkigombana mnapata ushauri kwa mama maana anakuwa yupo karibu,pia wanandoa walkuwa hawawez kufanya mambo ya ajabu ajabu kama kupgana,uzinzi maana ndugu zenu wapo karibu na nyie
 
Jamaa ni Boya Pro Max! Yani mwanamke ambaye yuko chini yangu akifanya hilo nafukuza mapema sana sijulizi hata mara 2
Mkuu hiyo sio suluhisho la kudumu angalia repercussion yake kwanza, nilisha wahi kutimua wawili bila hata kuomba ushauri kwa huyu the story is different.......na imani ntalitatua hili with minimal damage believe me nimepata mawazo ya wadau nashukuru nime yachuja nina yakwangu sasa
 
Hilo wazo lakua na bwana wake bado halijaniingia kwasababu hi kipi kilimuzuia kumleta bwana ake nyumbani? wakati iko peke yake nyumbani na kuna uhuru na ulinzi wakutosha, pamoja na hayo huyu mwanamke akili zake nazijua sio za kufuata bwana 'libido' yake iko low sanaa pia simu yake na imonitor bila yeye kujua hamna kitu kama mahusiano naona ni ujinga na makuzi ma mambovu kutoka kwa wazazi wake.
Sasa kutomleta bwana wake si heshima kiduchu tu alio nayo kwako na pia jamaa anaemkaza anajitambua na anajua kwako sio sehemu salama. Sio kwamba alishindwa ila tu amekustahi sababu bado anataka muendelee kuwa pamoja apate huduma toka kwako ila haimaanishi hawezi kuwa anatiwa huko nje!

The biggest possibility ni kuwa kuna kajamaa kanamchakachua na ndipo alipoenda kulala huko more than one time. We wanawake unaonesha una ugeni nao!

Anakuaga good night kisha anapanda boda boda anaenda lala kwa bwana mwengine na we unaamini! Achana na kitu inaitwa mwanamke ww! Na angekuwa mwaminifu angekwambia kuwa baba flani naenda kulala kwa dada yangu ila kaondoka kinyemela maana anajua upo mbali hutakaa ujue! Na kwa style yako ya mawivu ndio atagongwa kishenzi maana inaonekana ukiwepo hapumui na humpigi mashine vizuri! Kuwa makini tu mwanamke muongo muongo na mnafiki kama huyo atabeba mimba nje kisha atakubambikia soon!
 
Mkuu hiyo sio suluhisho la kudumu angalia repercussion yake kwanza, nilisha wahi kutimua wawili bila hata kuomba ushauri kwa huyu the story is different.......na imani ntalitatua hili with minimal damage believe me nimepata mawazo ya wadau nashukuru nime yachuja nina yakwangu sasa
Sikulaumu najua love is blind ila uhalisia utakufunza mzee baba! Huyo mwanamke unaemkumbatia atakufanyia mazito zaidi akili itakapokurudia amekurudisha nyuma mara 10 ndio utajua hujui!
 
Huyo hakutaki na dada yake anajua mengi.Achana nae tu ulee watoto wako.Kamwe usilazimishe mapenzi kwa namna yoyote.

Hapana kuna familia nyingine, wanamlazimisha huyu arudi nyumbani kwani akiwa nyumbani analeta neema. Huyu jamaa amchukue tu mkewe, inaonekana huyu mwanamke ni muathirika wa makuzi yake tu. Ila ahakikishe anamtenganisha kiasi na hiyo familia yake na awe mkali kumrekebisha. Kwa sasa asimchape amsamehe tu.
 
yaani ni maigizo kwa kweli, hao wanawake wa kuokota mnawatoaga wapi ?
Hahahah kweli wa jalalani huyo kama Kabudi! Mwanamke wa hovyo ambaye hajui kuaga anajiendea tu kama Gendaeka ni kimeo Pro Max kwa kweli!😁

Halafu ana akili za kukopa i cant stand such a female brain aisee! Mwanamke ambaye hajiamini kiasi kwamba mpaka akimbilie kwa dada yake hapo atakuwa kamvua nguo jamaa na dadaake ndio msiri wake kwa harakati za udangaji wa kimya kimya!
 
Mi mwenyewe mawazo yananijia kuna kidume atakuwa kafatwa huko kwa ushirikiano wa Dada jamaa nae anaamini ni kuogopa kubaki peke yake
Kuna mwanamke alitoaga mimba yangu kwa mpango ambao dada yake aliuratibu! Analia tu kila kukicha akikumbuka upumbavu alioufanya! Nikakuta karatasi za Ultra sound za Marie Stopes ambapo likely ndio aliitolea ile mimba akanidanganya ni miscarriage kumalamamaake! Sikuwahi kuumia namna ile!!!

Sahizi alipo huko mungu ndio anajua mjalaaana yule shwaini wahedi! Linajutia ujinga wake tu shenz taipu.

Sahizi nikiskia habari sijui za dada yangu hivi! Mara vile ninachomwambia tu huyo mtu ukitoa fito zako kuelekea huko uwe umenifuta katika akili yako na kumbukumbu zako!
 
Kama bwana anapanga atamfuata huko huko. Hujiulizi kwanini alisema mkutane kituoni? Ina maana angekwambia ufke kwa dada yake usingemkuta hakuwa kwa dada yake.
Kama angekuwa kwa dada yake kwanini hakuleta funguo mwenyewe?
Jamaa ni boya mpaka anakera huyu! Huyu mwamba sijui kama hajatongozewa huyo mke wake! Mwanamke anaweka uongo wa kitoto kabisa ila akili yake imefungwa kiasi kwamba haiwezi ng’amua maigizo anayofanyiwa na huyo malaya ambaye ndie mkewe! 🤓🤓🤓 Aisee kina Chris Mauki wana tabu kweli kweli!!!

Hawa ndio wale mabwege akijaribu kumchimba mke anafokewa na kukatiwa simu 😂😂😂!!! Ndio maana kakubali kupokelea funguo barabarani!
 
Kampan kampan kampan
Unajua ndoa nyingi za sku hz hazdumu kwasababu tunapenda kuishi wawili tu na watoto wetu.
Ukute n kwel anaogopa,cha kufanya mlete dada ako au mdogo wako wa kiume au mdogo wake wa kike ampe kampan

Zaman watu waliishi kicompound hata mlikuwa wanandoa mkigombana mnapata ushauri kwa mama maana anakuwa yupo karibu,pia wanandoa walkuwa hawawez kufanya mambo ya ajabu ajabu kama kupgana,uzinzi maana ndugu zenu wapo karibu na nyie
Hahahahah kwa akili za huyu mwanamke ukimletea mdogo wako wa kiume anaweza akawa anamkaza shemeji yake! Anachoogopa ni kitu gani hasa kama ana watoto tayari kashazaa si alale na wanae!
 
Jamaa ni boya mpaka anakera huyu! Huyu mwamba sijui kama hajatongozewa huyo mke wake! Mwanamke anaweka uongo wa kitoto kabisa ila akili yake imefungwa kiasi kwamba haiwezi ng’amua maigizo anayofanyiwa na huyo malaya ambaye ndie mkewe! 🤓🤓🤓 Aisee kina Chris Mauki wana tabu kweli kweli!!!

Hawa ndio wale mabwege akijaribu kumchimba mke anafokewa na kukatiwa simu 😂😂😂!!! Ndio maana kakubali kupokelea funguo barabarani!
Jamaa yani huyu mwanamke atakuwa anamuona kuwa ana uwezo mdogo hata kung'amua mambo. Atachapiwa mpaka akija funguka akili atakuwa anakuna nazi 😂😂 mke na bwanake wamepumzika room.

Huyu anaweza letewa mume mwenza akawa anabisha kuwa mkewe kamwambia ni shamba boy
 
Back
Top Bottom