Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndugu ana madhaifu makubwa mno na kibaya zaidi bado halioni hilo.....historia inatanabaisha kuwa huyu jamaa siku moja atakuja kulia kilio kikuu sana.....Sikulaumu najua love is blind ila uhalisia utakufunza mzee baba! Huyo mwanamke unaemkumbatia atakufanyia mazito zaidi akili itakapokurudia amekurudisha nyuma mara 10 ndio utajua hujui!
samahani dada hujabakiza hata mdogo wako home..😊Ni tragedy kubwa vitu vingine sio kawaida au huyu jamaa ametunga hii mada?
Maana mimi binafsi siwezi kwenda mahali bila kumjulisha mwenzi wangu hata kama niwe wapi,inaweza kutokea case hujaaga kabla lkn lazima umjulishe mwenzio ulipo na kwake yeye inaapply hivohivo najua whereabouts zake zote.
Sasa huyu mwenzangu mwezi mzima hujui mwenzio alipo duh!Sio kwa uhuru huo hata kusaidiwa unaweza kusaidiwa vizuri.Inapoteza mantiki ya ndoa!
Inawezekana hata kuwasiliana hawawasiliani hawa 🤔
Umeshauri kwa kufokea mkuu utafikiri unaujua undani wao, yeye kasema uyu wa sasa ni wa tatu, kaeleza mapungufu ya wenzie tuuuu yake uyajui inamaana siku zote alizokuwa safari walikuwa hawaongei? Adi anarudi home asimkute mwenzieHuyo hakutaki na dada yake anajua mengi.Achana nae tu ulee watoto wako.Kamwe usilazimishe mapenzi kwa namna yoyote.
Na yeye atakuwa na madhaifu yake yanayopelekea kuona madhaifu ya wenzie saana kuzidi yake ama anaweza kuwa chanzo cha mapungufu ya wenzie.......inawezekana kuoa wake watatu wooote asiwepo wa kuvumilika na kurekebisha maisha yakasonga? Na wa 4 atakuwa zaidi ya hao waliopitaHuyu ndugu ana madhaifu makubwa mno na kibaya zaidi bado halioni hilo.....historia inatanabaisha kuwa huyu jamaa siku moja atakuja kulia kilio kikuu sana.....
Sina mi ndo kitinda mimba 😊samahani dada hujabakiza hata mdogo wako home..😊
Akili hii nimeipenda.
Dah ..... basi uniombee namimi nipate mtu kama wewe ....😊Sina mi ndo kitinda mimba 😊
Hapana mkuu huyu mwana mke simpendi ila tu naangalia madhara kwa watoto na kazi zangu, nakaa nae kimkakati (strategical marriage) kama kuna njia ya kumacha peaceful hata leo usiku ningemuacha tu.Inaoenekana bado unampenda, msamehe tu.. hata hivyo kukaa kwa dada ake sio vibaya
WEWE NI TAHIRA, BWEGE, JINGAAAA MAMAEE.Nilivyosafari kuenda kwenye shughuli zangu za biashara takriban mwezi moja na nusu, jana nilirudi nikakuta mke wangu hayupo kasafiri na kuenda kwa Dada yake kukaa huko na nyumbani hamna mtu yeyote kuna giza kote, nikakagua nyumba yote na Kigari changu nikaona vyote viko salama nikamshukuru Mungu kwa hilo, nilienda kwa majirani labda wana taarifa yoyote kawachia na yuko wapi wakaniambia huyu hayupo nyumbani karibia mwezi na wiki niliduwaa
Nikampiga simu yake, mbona haupo nyumbani uko wapi? kaniambia iko kwa Dada yake Kinondoni nikamuomba anipe funguo wa nyumbani nipate kuingia na kupumzika, ka nialekeze nije nimsubirie kwenye kituo fulani nikaenda faster usiku huo nilivofika nikampigia simu takriban dakika 10 Dada mtu kajitokeza na funguo akanipa sikumsemesha kitu nikaondoka zangu mpaka nyumbani nikaingia ndani nikaona kila kitu kipo sawa ila kuna dalili za kuwa nyumba imekaa zaidi ya mwezi bila watu.
Sikumpigia simu tena kwasababu nilikuwa na hasira za kufa mtu nikajipa time nitulie kwanza, ila nilikua najiuliza huyu mwanamke nimfanye nini, kumtimua sio rahisi kwasababu ana kitoto changu kichanga mwaka moja na nusu kina nyonya, kwao hakuna mazingira mazuri kulea mtoto japo wanaishi Town ila mama aliekuwa nguzo ya familia alishafariki, Baba yake kashastaafu maisha yao kwa jumla sio, hawana uhakika wa kula milo mitatu, nyumba yao niya urithi tena wako zaidi ya watoto nane.
Mimi niko 38 na mke wangu iko 34 kumuacha manaake ni wakika wa kulea watoto wangu wawili utakua mgumu lakini kwasababu kipato chao ni duni sanaa, huyu mwanamke kanifanyia visa vingi kwanza ni muongo sana alishawahi kunificha kifo cha Mama yake kashaniongopea mambo mengi lakini kwasababu hayana madhara ya moja kwa moja na ya puuzia tu, nilifikia maamuzi mtoto wetu wa std 4 kumpeleke shule ya bweni sio kwamba nilipenda hapana kumuepusha kuiga tabia mbaya za mama ake.
Niseme tu mimi sina bahati katika kupata mke sahihi, kwasababu kabla ya huyu nilikua kuna Dada moja tume date nae takribani miaka 4 tukabahatika na kupata mtoto kilicho kuwa kimebakia nikuenda ku kujitamblisha kwao tu, ila yule demu hapana, alikuwa anasafiri almost kila weekend yani yeye na safari za kuenda makwao, aruhusi, mauleedi Dua, yalikua too much paka makonda wa ma busi ya kuenda Tanga wakaanza kumjua alikua anajua mabus yote ya route iyo duh nikaona huyu anifae kabisa nikampiga chini.....sasa this time nikashirikisha wazee wangu wanitafutie mke serious kwa kweli wazee hawakuchelewa wakaniambia tayari njoo muonane nikaenda nikaridhia na nikafanya utaratibu wa kumchukua, nilikaa nae kama mienzi mitatu duh nikaja kumkuta kumbe anakula mirungi (veve) nilichoka nikaona sina namna(mke wakutafutiwa ni shida). ndo nikaja kumpata huyu, ila nimemchoka vituko vyake ila sina la kufanya, pesa yangu elimu yangu havinisaidie kwasasa isipo kuwa uvumilivu tu.
Leo kama saa nane huyu bibie (mke) kanipigia simu kuniuliza hatima yake.....nikamwambia mie siwezi kuongea hi issue kwenye simu pata sehemu tuongea ana kwa ana akanielekeza pa kumkuta tuyaongee, nikaendesha ki (baby walker) changu paka pale, nilivofika akaanza kuwa mkali najifanya kuleta mambo ya nyuma nikawa kimya kwasabb alilenga kuniondoa kwenye mada, tu nikamuuliza anataka lipi kajibu kurudi nyumbani kwanini ulipacha eti ana paogopa duh nikamuuliza sasa ukurudi unaenda kukaa nani kwasababu baada ya wiki moja naenda kusafiri tena utapakimbia? Akasema hapana eti hatarudia. Ila huyu mama muongo mambo mengi anaapa ila anayarudia tu.
To cut the story short nilimpa option tatu achague moja. Kum -suspend kwa miezi mitatu akiwa kwao au aombe talaka au nimpige viboko vitano. Kaamua nimchape viboko vitano yaishe. ila personally am not a violent man na sijawahi kuchapa mke yeyote hili jambo lime nipa wakati mgumu sanaa, namimi sitaki unafiki nataka nafsi yangu iridhike, akifanya adhabu yangu yoyote.
Wakuu ndo nimemfikisha home sina hata 30minutes sijui ndo nimchape au kuna adhabu nyingine zaidi ya hiyo mnishauri, ila kumbukeni huyu mwana mke ni msumbufu sanaa muonģo ila sijawahi kupata ushahidi wowote wa uzinzi kwake. Naomba ushauri na uzoefu wenu ahsanteni.
Umeona eeh.Ni tragedy kubwa vitu vingine sio kawaida au huyu jamaa ametunga hii mada?
Maana mimi binafsi siwezi kwenda mahali bila kumjulisha mwenzi wangu hata kama niwe wapi,inaweza kutokea case hujaaga kabla lkn lazima umjulishe mwenzio ulipo na kwake yeye inaapply hivohivo najua whereabouts zake zote.
Sasa huyu mwenzangu mwezi mzima hujui mwenzio alipo duh!Sio kwa uhuru huo hata kusaidiwa unaweza kusaidiwa vizuri.Inapoteza mantiki ya ndoa!
Inawezekana hata kuwasiliana hawawasiliani hawa [emoji848]
Sio ajaye, ukiwa mzoefu wa haya mambo utagundua watoto sio wake,tena km huyu mdogo, SIO WAKE KABISA.Kuishi na mwanamke mjanja mjanja kuliko wewe ni mzigo! Mtoto ajaye hatakuwa wakwako
Anaishi na mwanamke tapeli na mwenye amekiri zaidi ya mara moja kuwa mwanamke muongo muongo sana!Sio ajaye, ukiwa mzoefu wa haya mambo utagundua watoto sio wake,tena km huyu mdogo, SIO WAKE KABISA.
Hamna solid communication yani😝😝😝 yani kila mtu anajiendea kama mbuzi wa manispaaNi tragedy kubwa vitu vingine sio kawaida au huyu jamaa ametunga hii mada?
Maana mimi binafsi siwezi kwenda mahali bila kumjulisha mwenzi wangu hata kama niwe wapi,inaweza kutokea case hujaaga kabla lkn lazima umjulishe mwenzio ulipo na kwake yeye inaapply hivohivo najua whereabouts zake zote.
Sasa huyu mwenzangu mwezi mzima hujui mwenzio alipo duh!Sio kwa uhuru huo hata kusaidiwa unaweza kusaidiwa vizuri.Inapoteza mantiki ya ndoa!
Inawezekana hata kuwasiliana hawawasiliani hawa 🤔
Ye anahisi maziwa yanapiga super glue kule chiniYaan wee mtoa mada khaaaa
Mambo ya ajabu sanaaaaa
Kwa taarifa yako, wanawake.wengi wanaonyonyesha huogopa kutombwaa watoto wanapokua chini ya miezi sita.
Ila wako anamwaka nanusu...yaan hapo mkeo anapigwa sanaaaa yaan analiwa.
Tena km ni wakanda ya ziwa, kule wanamadawa wanamfanyia mtoto hata akiwa na miezi mitano, baada yahapo anaanza kutiwa, bila hata kumuathiri mtoto.
Fala weewe ,najua kakudanganya kua, HAWEZ KUKUSALITI KISA ANANYONYESHA???
UWIII HAHAHAHAH, Wanaliwa sanaaa yaaan wanaliwa sanaaaaaa