Mke wangu amenenepa mno

Mke wangu amenenepa mno

Picha iko wapi?

Uzi wako unakosa chain of custody, relevancy na competence tunachangiaje sasa
Mimi naona twende kwenye kesi ndogo ndani ya kesi kubwa. Maana sio haki, mtu unampatia mwenyewe diet ili anenepe. Alafu baada ya kunenepa unakuja kumfungulia uzi.
 
huyu ndo yule mke aliyekukamulia maziwa, wakat unamnyonya maziwa yake??
kama n yy bas mnyonye haswa zaid ya mtoto, hakika utanishukuru baadae......
 
Shabaaaash! Habarini wanajukwaa.! Mke wangu ana muda usio mrefu tangu ajifungue na anakaribia kuacha kunyonyesha sasa kwani mtoto ameshakuwa mkubwa.

Tatizo ni kuwa nilimuanzishia diet ya kurudisha virutubisho kwani hili dume lilikuwa linanyonya mno so alipungua kiasi. Sasa amenenepa kuanzia matiti, na hasa makalio japo mwili wote kanenepa.

J pili mchana tulikuwa home, kama ada, tukaanza kutaniana vizuri tu, tulikuwa on bed ila not for sex at that instant, kuna kitu nikamuambia akachukia japo utani, akanikalia, kutokana na uzito mkubwa sikuweza kuinuaka, nilikuwa napumua vizuri ila kujitoa ilikuwa ngumu.

Akaniambia "yaani leo nahakikisha nakutegua nyonga", nimemnukuu. Yaani kunenepa kwake anafanya ni kama silaha? Nikamlegeza kwa maneno matamu hatimaye akainuka. Neno lenyewe nililomuambia ni kuwa kanenepa mno atakuwa mzito kwenye sex.

Nimepanga kumfanyisha diet na mazoezi apungue kinguvu. Hivi vyakula gani ale? Ananisononesha mno huyu mama watoto wangu.!
Tafuta kamchepuko fulani "portable" mbona vipo tu, kadogo dogo hivi unaka_screw vizuri, hawa wake zetu wakishajifungua mwili ukishafumuka haurudi tena. Ni vitambi kwenda mbele.

Kuwa na ka_portable kako lakini hakikisha inakuwa ni Siri kuu, wife hahitaji kujua kamwe, asije kuumia.
 
Hakuna kapicha [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]????
 
Mpe stress tu mbona utamuoea huruma atavoisha!!
 
Tabu ya kudate na demu mwembamba hujui anataka mapenzi au chakula
 
Mbona sielewi dhumuni la huu uzi!! Umeandika tukushauri au umetujuza kwamba mke wako kanenepa
 
Tafuta kamchepuko fulani "portable" mbona vipo tu, kadogo dogo hivi unaka_screw vizuri, hawa wake zetu wakishajifungua mwili ukishafumuka haurudi tena. Ni vitambi kwenda mbele.

Kuwa na ka_portable kako lakini hakikisha inakuwa ni Siri kuu, wife hahitaji kujua kamwe, asije kuumia.
Doh dear future husband, usijekua na mawazo kama haya, ubaki njia kuu na mimi tu hata kama nna kitambi, michepuko siyo mizuri🤔
 
Mpe simu yako siku mbili tu,
ATA KONDA
97a7e5fd1e2b4320a256c12062a78ca8.jpg
 
Akaniambia "yaani leo nahakikisha nakutegua nyonga", nimemnukuu. Yaani kunenepa kwake anafanya ni kama silaha? Nikamlegeza kwa maneno matamu hatimaye akainuka. Neno lenyewe nililomuambia ni kuwa kanenepa mno atakuwa mzito kwenye sex.
Ukute kanenepa tumbo bila Tako.... anyway ndio maisha
 
Shabaaaash! Habarini wanajukwaa.! Mke wangu ana muda usio mrefu tangu ajifungue na anakaribia kuacha kunyonyesha sasa kwani mtoto ameshakuwa mkubwa.

Tatizo ni kuwa nilimuanzishia diet ya kurudisha virutubisho kwani hili dume lilikuwa linanyonya mno so alipungua kiasi. Sasa amenenepa kuanzia matiti, na hasa makalio japo mwili wote kanenepa.

J pili mchana tulikuwa home, kama ada, tukaanza kutaniana vizuri tu, tulikuwa on bed ila not for sex at that instant, kuna kitu nikamuambia akachukia japo utani, akanikalia, kutokana na uzito mkubwa sikuweza kuinuaka, nilikuwa napumua vizuri ila kujitoa ilikuwa ngumu.

Akaniambia "yaani leo nahakikisha nakutegua nyonga", nimemnukuu. Yaani kunenepa kwake anafanya ni kama silaha? Nikamlegeza kwa maneno matamu hatimaye akainuka. Neno lenyewe nililomuambia ni kuwa kanenepa mno atakuwa mzito kwenye sex.

Nimepanga kumfanyisha diet na mazoezi apungue kinguvu. Hivi vyakula gani ale? Ananisononesha mno huyu mama watoto wangu.!

Kwa hiyo umeona nao huu ni uzi au ujinga? Hayo ni mambo yenu ya ndani ya nyumba na daktari anaweza kuwapa majibu.
 
Back
Top Bottom