Mke wangu ameniacha njiapanda

Pole sana Mungu akusaidie kwa hiyo changamoto ili uweze kuwa na maamuzi sahihi.
 
Wakuu hebu tuangalìe pia upande wa pili kwa umakini. Je tunawapekea moto vizuri wake zetu? Isijekuwa tu wazembe kisha tunalalamika kumbe sisi wenyewe kimoja tu chali!
Hivi mbuzi sikuizi nao wanatumia smartphone..?
 
Kabla ujafanya maamuzi yoyote kumbuka alishachapwa na shemeji na ataendelea kuchapwa na shemeji uo ndo ukweli mkuu ok maamuzi juu yako mkuu
 

Duuuuh
 

Yaani na msamaha hajaomba??????????????? Mmmh hatari sana
 

Anaonekana anakiburi huyoo
 
Kwanini mna oa huku hamjakomaa au kuwa tayari kuwa baba wa familia, mume na kiongozi kwa mkeo?
1.Acha kufanya mawasiliano ukijifanya wewe ndie mke, itakusaidia saana.
2.Acha kumchunguza mkeo, mke hachungwi kama mfugo.
3.Kama Kuna tatizo kwenye ndoa yako na unaona kukimbilia JF ndio utapata utatuzi jua kabisa wewe bado hujakomaa kuwa kiongozi wa familia yako.
NB. Kila ndoa inachangamoto zake, lakini kama mwanaume lazima uwe na kaba ya koo..hata kama uko kama ghost hapa JF lakini unachokifanya gizani ndio uhalisia wako. Ukiona mke amekushinda bora uhame uanze maisha mapya maana kwa kuwa hamjakomaa kiakili kuhandle matatizo ya ndoa mwishowe mtaishia kuua Wenza wenu na kujiua.
Sio dhambi kuishi peke yako.
 

I make money I make rules....Kama unalelewa endelea kusamehe maana hauna jinsi.
Above all kama huwezi kumuacha usimfuatilie.....hata kama ungetengeneza rules 1000000 ila kuchapiwa kuko palepale
 
Mkuu ungefanya subira kidogo ili upate data za kutosha kujiridhisha ndipo ungechukua maamuzi.Haraka imekuponza sasa umeshindwa kuupata ukweli na ushahidi kamili.Ila law kifupi ni wazi kwamba amekusaliti japo hawezi kukubali
 
bora uhame uanze maisha mapya maana kwa kuwa hamjakomaa kiakili kuhandle matatizo ya ndoa mwishowe mtaishia kuua Wenza wenu na kujiua.
Wewe uliyekomaa ndio mpe ushauri Kijana asiyekomaa afanyaje....??? amekuja huku ili nyie mliokomaa mumpe maelekezo nini anatakiwa kufanya....

Anakusikiliza tafadhali....
 
Visanga kam ivi ndio naonaga ndia mda mwingne sio kitu cha maana kwasababu unakuwa na mistress ya kugongewa Mara ela ya kuemea mara mambo kibao
 
Mkuu ungefanya subira kidogo ili upate data za kutosha kujiridhisha ndipo ungechukua maamuzi.Haraka imekuponza sasa umeshindwa kuupata ukweli na ushahidi kamili.Ila law kifupi ni wazi kwamba amekusaliti japo hawezi kukubali
Hata haueleweki unachoongea.

Mara kashindwa kuupata ukweli. Halafu unasema kifupi amesalitiwa. Kwani yeye analalamika nini kama sio Ima kufanya yake.
 
Kuoa sio ishu..anaweza olewa na kuliwa analiwa tu...
Oa uclaim mke hujaoa so mke wa wote hata akiolewa ni mke wako so you have a right to complain to the world posa hata ima anaweza toa .
Maisha ya sasa ni kudhubutu umeelewa sio upuuzi upuuzi unaumiza watu hapa akili zao wakuupe ushauri hewa.
Ushimen na Mshana Jr na wengine wameoa kiuhalali wamefuata process wakilalamika wanahaki sio wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…