Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Pole sana Mungu akusaidie kwa hiyo changamoto ili uweze kuwa na maamuzi sahihi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mbuzi sikuizi nao wanatumia smartphone..?Wakuu hebu tuangalìe pia upande wa pili kwa umakini. Je tunawapekea moto vizuri wake zetu? Isijekuwa tu wazembe kisha tunalalamika kumbe sisi wenyewe kimoja tu chali!
Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.
Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.
Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.
At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.
Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.
Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.
Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.
Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.
Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.
Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.
Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.
Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.
SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......[emoji848]
Ni kweli BT HAJAOMBA MSAMAHA KABISA AS IF HAKUNA KILICHOTOKEA TUPO TUNAANGALIANA TU.
USIKU HUU ANANIULIZA KAMA HATUWEZI ELEWANA NISEME MI NIMEJIBU SINA CHA KUELEWANA NAYE CHOCHOTE KILE NA NJIA NI NYEUPE KWAKE KWA LOLOTE KISHA NIKANYAMAZA. [emoji40][emoji850]
Nipo cool kbs hata msosi akipika sili napika mwenyewe mi namcheck tu.....kashajiliza weee mi kama simuoni vile.
Mpuuzi sn kuna maagizo huwa nampa hapa home hafanyagi leo nmerudi jioni nmekuta kafanya kila kitu
anajua napendaga karaga za kukaanga nazo nimekuta kama zote kakaanga sjala hata karanga moja nampimia tu.[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Hivi wewe jamaa unafahamu uchungu wa kugongewa? Sisi ni Wanaume tumsaidie mwezetu kumpa ushauri wenye kufaa sio suala la kusamehe mwanamke kwenye uzinifu, yaani nitomb..ewe mwanamke na ushahidi upo halafu uniletee habari za msamaha kwanza nitaanza na wewe unayeshauri msamaha kmmmk.
Above all kama huwezi kumuacha usimfuatilie.....hata kama ungetengeneza rules 1000000 ila kuchapiwa kuko palepaleI make money I make rules....Kama unalelewa endelea kusamehe maana hauna jinsi.
Wewe uliyekomaa ndio mpe ushauri Kijana asiyekomaa afanyaje....??? amekuja huku ili nyie mliokomaa mumpe maelekezo nini anatakiwa kufanya....bora uhame uanze maisha mapya maana kwa kuwa hamjakomaa kiakili kuhandle matatizo ya ndoa mwishowe mtaishia kuua Wenza wenu na kujiua.
Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.
Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.
Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.
At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.
Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.
Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.
Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.
Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.
Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.
Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.
Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.
Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.
SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......🤔
Hata haueleweki unachoongea.Mkuu ungefanya subira kidogo ili upate data za kutosha kujiridhisha ndipo ungechukua maamuzi.Haraka imekuponza sasa umeshindwa kuupata ukweli na ushahidi kamili.Ila law kifupi ni wazi kwamba amekusaliti japo hawezi kukubali
Oa uclaim mke hujaoa so mke wa wote hata akiolewa ni mke wako so you have a right to complain to the world posa hata ima anaweza toa .Kuoa sio ishu..anaweza olewa na kuliwa analiwa tu...
Wapashe kipolo kwani wameachana? Acha ufala chukua maamuzi.JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, ....[emoji848]