Mke wangu ameniacha njiapanda

Mke wangu ameniacha njiapanda

Mkuu ushauri ni hivi piga chini huyo mtu, mwanamke akishacheat ni Sawa na kula nyama ya mtu haachi. Mi Kuna demu nlikuwa naishi nae alipigiwa simu saa 7 usiku na njemba akataka aipotezee nkamlazimisha apokee nkaweka loudspeaker, alishindwa kuongea akakata.
Nkamuuliza huyo ni Nani akasema rafiki yake wa siku nyingi kuchukua simu nkakuta waliwasiliana asubuhi na mchana.
Sikuomba ushauri yeye na mimba yake nikapeleka kwao, nahudumia mtoto tu ila mazoea naye sitaki na hizo hasira za mlipuko nlizonazo yasije tokea ya Mwanza
Huu ndio uanaume ukishajiridhisha tu ni papo hapo hakuna haja ya kuzunguka, baada ya muda utaona anaanza kukusumbua wapumbavu sana hawa makumaku.
 
Mpe benefit of the doubt, sometimes siyo watu wote wenye uwezo wa kuchakata vitu vizuri na kunyoosha maelezo. Kwakua haujamfuma akiliwa uroda, bado mpe nafasi. Pole sana mkuu haya mambo uyasikie tu kwa jirani.
Wanawake ni dada, wake, bibi, shemeji, michepuko na mama zetu hivyo mienendo yao haiko kwenye mstari mara nyingi. Cha msingi, utulie, upate ukweli alafu ufanye maamuzi.

Kuna maboya wengine hawana nidhamu, ndiyo maana tukiwafuma na wake zetu tunatatua marinda yao .
Mkuu unajitahid sana kuwa realistic, hongera kwa hilo.Kwakifupi haya mambo ni vile tu jamaa atakavyojiskia moyoni ndio aamue ila kwa dunia ya sasa ni ngum sana kuwa na confidence ya kumwamin mtu...cha msingi apime tu mapungufu vs benefit za huyo manzi kisha aegemee mizan itakapo lalia .Huyo mwana mama ni mkosaji na inawezekana kabisa sio mwaminifu kulingana na history before hamjakutana ila Msamehe..Msamehe tu chief af angalia mustakabali wa maisha yako zaid hata kama utaamua kuendelea kuishi nae..Mpotezee kabisaa (kama una moyo mgum kama sie wengine) ila just be careful
 
Pole, inauma!
Inauma sanaaa...nimeshawah kukutana na scenario kama hii..Ila nikasemehe na ku move on na baada ya miaka kadhaa nikamuoa kabisaa kwakua alikua na sifa ya juwa mama bora kabisaa ila ile hali ya kumwamini ikaondoka kabisaa na nikajikuta naangukia kwenye penz la manzi mmoja aliekua ananiwinda kinyama toka niko chuo ila nikawa simpi nafasi...
Kwakifupi usaliti huwa una trigger usalit upande wa pili.
 
Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.

Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.

Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa.

Sasa jana usiku nilitoka kidogo wakati nipo njiani ikaingia sms kwenye WhatsApp upande wa namba yake ikiwa inasema MAMBO....mi nikajibu NANI....ikajibiwa IMA....nikamjibu UNAJUA UNACHART NA NANI....akajibu JINA LA MKE WANGU.....nikamwambia OK....tukasalimiana nikijdai kama mimi ndo mhusika yaani mke wangu.

At last jamaa akaomba picha nikamkatalia kwa kumwambia siwezi na nikauliza yanini picha. Jamaa akadai amemiss kuniona yaani kumuona mke wangu.

Nikamuuliza umemisi nini akajibu MAMBO YAKO BADO SJASAHAU....nikauliza mambo gani akajibu ya KITANDANI.

Nilipofika nyumbani nikamsalimia mke wangu nikamwambia anipe simu ndogo aliyokuwa nayo kucheck upande wa dialed call nikakuta ni muda si mrefu alikuwa anaongea na jamaa aliyekuwa amemtumia sms WhatsApp jamaa alikuwa kampigia wameongea kama dk 3.

Nikamuuliza huyu uliyekuwa unaongea naye ni nani wakati huo sjamwambia chochote kuhusu charting za hiyo namba kwenye WhatsApp yake.

Akajibu huyo ni shemeji yake kule alikoolewa mdogo wake.

Nikamuuliza mara 3 huyu ni nani maana pia namba hakuwa ameisave akashituka akauliza kwani kuna nini.

Nikamwambia kwahiyo wewe ulikuwa unafanya mapenzi na shemeji yako au siyo. Akashituka hapana nikamuonyesha WhatsApp vile jamaa amesema mke wangu akakataa kabisa eti jamaa akajiandikia tu ila hakuna lolote kama vipi tumpigie nikamwambia ok ngoja tumpigie wakati najiandaa kupiga akakataa ooooh subiri kwanza nikwambie nikakataa maana tumeshakubaliana tupige simu na yeye hilo wazo ndo kalisema.

Nikapiga jamaa akapokea mke wangu akagoma kbs kuongea nikakata simu.
Nikaenda zangu sitting room nikamuacha room.

Sasa tokea wakati huo sijaongea naye chochote namuangalia tu nimetoka job hapa namcheck tu maana sina kawaida ya kupiga mwanamke na sijawahi kumpiga hata kofi.

SASA WAKUU MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI, PILI KWANINI MKE WANGU ALINIDANGANYA, TATU JE HUYU MKE NA HUYU JAMAA YAKE WAKIKUTANA MNADHANI HAWATAPASHA KIPORO HAWA RAIA HAWA, NNE KWA HISIA ZA HARAKA WALIPOKUWA WANAONGEA KWENYE SIMU WAKATI SIPO WALIKUWA WANAKUBALIANA NINI......[emoji848]
Sijasoma uzi wote maana ni mrefu sana ila nimesoma heading tu acha nikoment kwanza ndo ntakuja badae kusoma uzi mzima
Mkea amekuacha njia panda ipi mkuu?
Si upande hata boda hapo uende nyumbani mtakutana huko?
 
Ndo ana mimba sasa ila sjafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
...Usiishie Kuwaza! Tends, Mwache aende zake! Mwanamke atende Makosa yote lakini Sio Kuzini!
 
Nipo makini nilishajiapiza sitapiga mwanamke kwa hasira nilizokuwa nazo jana kama ningekuwa mpigaji basi ningembonda sana jana usiku.
Haina haja ya Kumbonda! Muache TU Salama.. Karma itafanya Kazi.....
 
USIKU HUU ANANIULIZA KAMA HATUWEZI ELEWANA NISEME MI NIMEJIBU SINA CHA KUELEWANA NAYE
Pole sana Mkuu,,,, hii ni ishara kuwa Mkeo ana maamuzi kuliko wew,(WEWE NDIO LOFA KWENYE HUO UHUSIANO),,, Yaani ameliwa mzigo halafu bado ana Audacity ya kukuambia hvo hehehehe...

FUKUZA HARAKA SANA HIO KENGE..

Be a Man,,, Stay Taliban...
 
Usipaniki sn mkuu huyo atakuwa alikuwa mtu wake kabla ya kuwa na wewe kwny mahusiano na ndio maana hukumkuta akiwa bikira Wala wewe hakuwa mtu wako wa kwanza kukutana naye kimwili Ina maana before ulilala na wanawake wengine tofauti na huyo yaweza kutokea hata ww ukajikuta Kuna x wako unawasiliana naye na pengine akawa anakusihi angalau muonanane je yy akifuma hizo chatting zako avunje ndoa?asilimia kubwa ya ma x pamoja na kuvunja mahusiano lkn story za hapa na pale Kuna kipindi huwa zinaibuka wanawasiliana Ni vile tu kila mtu hufanya kwa kificho na hapo akili Ni kichwani mwa mkeo maana yy ndio mwenye kusema ndio au hapana ,na inaonyesha tangu waachane hawajarudi Tena kusex Ila jamaa ndio ameanza kukumbushia Sasa .Relax
 
Mkuu usiwe fala,,

Humo ndani hakuna kitu chenye incha Kali ukakitumia?

Wenzio akina saidi na swalha walitrend Sana mitandaoni.

Utakuwa fala hadi lini?

Fukuza huyo nyoka ndani humo.
 
Wapo waliowafumania wake zao ila still waliwasamehe na maisha yakaendelea.
Kusamehe ni ibada.
Hivi mkuu ingekua niwewe ndo umekutwa na hali kama hiyo na mke wako ungekubali??? tena kwa haraka namna hyo hii namba ni ya nani ungejibu ni ya mpenz wako au ex wako??
Uongo wake ulikua na lengo la kujidefend tu ambavyo hata wewe ungefanya.

Uamzi ni wako mkuu.
I make money I make rules....Kama unalelewa endelea kusamehe maana hauna jinsi.
 
Mke wako na hamjaoana hapo ndio mnazini mbw nyie .
Kazi kuzini tu hawara nyie wote .
Akiliwa ni hiari kabisa koma huoi hadi leo unachotaka kugundua nini??
Kuoa sio ishu..anaweza olewa na kuliwa analiwa tu...
 
Kuchapiwa huwa ni Siri ya ndani mkuu wewe hapo ulipo unajuaje kama mkeo hajawai kukusaliti?? Isijekua mnamshauri mwenzenu ujinga kua aachane na mke wake wakati nyie ndo wale ambayo wake zenu tunawasindikiza kwenye lodge kila siku na bodaboda zetu. Ndo maana mwisho wa siku nimemaliza kwa kusema maamzi ni yake, binafsi kuhusu hatma ya Mke wangu akichepuka nikagundua siwezi kumuomba mtu yeyote ushauri me ndo ntaamua either ninyoe ama nisuke over.
Mke wangu kama anachepuka achepuke tu ila nikija kujua huwa sinaga msamaha kwenye hilo swala.

Naungana na ww kwenye swala kama hili si la kuomba ushauri.
 
Kama huna uwezo wa kumuacha basi acha kumchunguza.

Kilichokufanya ujifanye wewe ni mkeo hadi ima ajilipue kua alikuchapia mkeo ni nini??

Huna uwezo wa kumuacha huyo mwanamke, we mkanye na uendelee nae ila siku nyingine kama unataka kumchunguza basi hakikisha huji kuomb ushauri ila unakua na maamuzi yako tayari.
 
Mkuu hata kama walifanya kabla ya kuishi na mimi sasa wanaendelea kuwasiliana ili iweje mbaya zaidi tena kwa siri nikiwa sipo wanapigiana simu kuna amani kweli hapo mjomba...?[emoji848]
Temana nae huyo atakusumbua na ukute na hiyo mimba aliyonayo sio yako. Fanya utafiti. Kujiridhisha kabla ya maamuzi
 
Back
Top Bottom