kalemauji
JF-Expert Member
- Jun 24, 2014
- 1,552
- 1,661
Huu ndio uanaume ukishajiridhisha tu ni papo hapo hakuna haja ya kuzunguka, baada ya muda utaona anaanza kukusumbua wapumbavu sana hawa makumaku.Mkuu ushauri ni hivi piga chini huyo mtu, mwanamke akishacheat ni Sawa na kula nyama ya mtu haachi. Mi Kuna demu nlikuwa naishi nae alipigiwa simu saa 7 usiku na njemba akataka aipotezee nkamlazimisha apokee nkaweka loudspeaker, alishindwa kuongea akakata.
Nkamuuliza huyo ni Nani akasema rafiki yake wa siku nyingi kuchukua simu nkakuta waliwasiliana asubuhi na mchana.
Sikuomba ushauri yeye na mimba yake nikapeleka kwao, nahudumia mtoto tu ila mazoea naye sitaki na hizo hasira za mlipuko nlizonazo yasije tokea ya Mwanza