winnerian
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 379
- 603
Sikushauri sana uwe na mawazo ya kuendelea nae, njia nzuri kwako ni kauchana nae 100% usonge mbele na maisha. Wanawake wapo na sio kwa umuhimu sana kuhishi nao muda wote. Cha msingi set goals zako na hakikisha zinatimia kwa asimilia zote kisha ishi maisha yako.UPDATE.
[emoji117] NIMEAMUA KUMSAFIRISHA KWAO KESHO ASUBUHI AKAE HUKO MPAKA ATAKAPOJIFUNGUA.
MAMBO MENGINE TAAMUA BAADA YA HAPO.
KAOMBA MSAMAHA WA MACHOZI KWAMBA ALIKUWA BWANA AKE LAKINI YE NDO ALIMUACHA SABABU IMA HAKUWA MWAMINIFU....
HAYO NDO MAAMUZI YANGU KWASASA [emoji848]
Wapo wanawake waaminifu na wanaojielewa mnoo, utawapata ukiwa kwenye line ya kustruggle