Mke wangu ameniacha njiapanda

Mke wangu ameniacha njiapanda

UPDATE.

[emoji117] NIMEAMUA KUMSAFIRISHA KWAO KESHO ASUBUHI AKAE HUKO MPAKA ATAKAPOJIFUNGUA.
MAMBO MENGINE TAAMUA BAADA YA HAPO.
KAOMBA MSAMAHA WA MACHOZI KWAMBA ALIKUWA BWANA AKE LAKINI YE NDO ALIMUACHA SABABU IMA HAKUWA MWAMINIFU....

HAYO NDO MAAMUZI YANGU KWASASA [emoji848]
Sikushauri sana uwe na mawazo ya kuendelea nae, njia nzuri kwako ni kauchana nae 100% usonge mbele na maisha. Wanawake wapo na sio kwa umuhimu sana kuhishi nao muda wote. Cha msingi set goals zako na hakikisha zinatimia kwa asimilia zote kisha ishi maisha yako.

Wapo wanawake waaminifu na wanaojielewa mnoo, utawapata ukiwa kwenye line ya kustruggle
 
UPDATE.

[emoji117] NIMEAMUA KUMSAFIRISHA KWAO KESHO ASUBUHI AKAE HUKO MPAKA ATAKAPOJIFUNGUA.
MAMBO MENGINE TAAMUA BAADA YA HAPO.
KAOMBA MSAMAHA WA MACHOZI KWAMBA ALIKUWA BWANA AKE LAKINI YE NDO ALIMUACHA SABABU IMA HAKUWA MWAMINIFU....

HAYO NDO MAAMUZI YANGU KWASASA [emoji848]
Wanawake bwana dah!

Kama hakuwa mwaminifu mbona bado anahangaika naye?

Ni yale yale ya singo maza. Jamaa lilimzalisha likamtelekeza huko leo umemuoa hilo linarudi tena na kuanza kupasha kiporo. Sijui akili zao zikoje sometimes [emoji51][emoji51]
 
Sisi ni binadamu tumeshauriwa kusamehe kama nasi tunavyohitaji msamaha wa makosa yetu.

Ni mwanzo mzuri kama ameomba msamaha wa machozi muache aende baada ya muda karibu kujifungua kamachukue mtoto azaliwe mikononi mwako namaanisha chini ya uangalizi wako.

Lakin muonye asirudie tena maana akirudia yatakua mengine na umwambie kwamba hakunaga siri duniani siku za mwiz arobaini msisitize pia mueleze madhara ya kuchepuka hasa issue ya magonjwa.

Nasisitiza msamaha ni muhimu maana Yesu ametuamuru japo inauma lkn hakuna namna.

Akija rudia ndo red card, waswahili wanasema kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa ni kosa.!

Shinda jaribu hilo kiongoz.!
 
We jamaa we kaa nae tu utaona kama vihuruma vinaanza ghafla utaona kama wewe ndo umemuonea mara paaa we ndo utaanza kuomba msamaha kuja kutahamaki umepiga goti timua huyo
 
UPDATE.

[emoji117] NIMEAMUA KUMSAFIRISHA KWAO KESHO ASUBUHI AKAE HUKO MPAKA ATAKAPOJIFUNGUA.
MAMBO MENGINE TAAMUA BAADA YA HAPO.
KAOMBA MSAMAHA WA MACHOZI KWAMBA ALIKUWA BWANA AKE LAKINI YE NDO ALIMUACHA SABABU IMA HAKUWA MWAMINIFU....

HAYO NDO MAAMUZI YANGU KWASASA [emoji848]
Mmmhu... Kaomba msamaha huku akiwa anatoa machozi,Mwanaume ukalainika.

Ilee kauli ya kama hatuwezi kuyamaliza anataka umwambie unaielewaje?[emoji28]

Yani yeye ndiye aliye muacha lakini bado wanapigiana simu , kutumiana picha wasapu na meseji Kwa kisingizio kwamba Imma hakuwa mwaminifu???[emoji28][emoji28]

Bado mwanzoni ulipo muuliza kuwa Imma ni nani akakuzuga ni Mume wa mdogo wake.Lakini Leo hii alikuwa jamaa yake [emoji28][emoji28][emoji28]

Jumlisha na jeuri aliyo kuwa akikuonesha waziwazi na kiburi licha ya yeye kuwa chanzo cha mzozo huo [emoji16]

Akili kumkichwa...

Naona Imma anavyo furahi kwa maamuzi yako Maana atakuwa free kuichakata papuchi ili kukomaza kichanga na kufungua njia ya uzazi[emoji28][emoji28][emoji28]

Mbaya zaidi nina imani mpaka leo hujui hata Imma anaishi wapi na ana fananaje na hata kazi yake. USIKUTE IMMA ANAISHI KIJIJI AU ENEO AMBALO MKEO NI KWAO NA IMMA AU NDO IMMA MAKAZI YAKE YALIPO[emoji28][emoji28].dadeq
 
Kupanic kwako kumekukosesha ukweli wote. Mtu ametuma meseji, unamuuliza wewe nani; anakujibu mimi fulani. Hivi kweli kama ni watu ambao wanawasiliana kila siku, ungemuuliza yeye ni nani si lazima angeshtuka? Hadi anamuomba picha, Ina maana hana picha zake, right? What if baada ya zile chats za wasap ndiyo akaamua kumpigia mkeo?

Shida ni kwamba ulikurupuka; ungetulia nina uhakika ungepata majibu sahihi. Bila shaka ni ex wake, lakini alikuwa ex wa muda gani? What if walishaachana kitambo huko na mwanaume ndiyo amenza kumtafuta sasa hivi?

Usifuatishe mkumbo wa wanaume wa JF; humu wao wanawake hawawasumbuagi, wanafukuza tu. Usijefanya maamuzi kwa hasira na ukawa umemuonea huyo mzazi mwenzako mtarajiwa na mtoto wenu; baadaye ukaja kujuta. Punguza hasira, utapata wakati mzuri wa kudigest hili. So far sijaona ushahidi wowote kuwa mkeo amechepuka na huyo mwanaume akiwa kwenye mahusiano na wewe.
 
Sisi ni binadamu tumeshauriwa kusamehe kama nasi tunavyohitaji msamaha wa makosa yetu.

Ni mwanzo mzuri kama ameomba msamaha wa machozi muache aende baada ya muda karibu kujifungua kamachukue mtoto azaliwe mikononi mwako namaanisha chini ya uangalizi wako.

Lakin muonye asirudie tena maana akirudia yatakua mengine na umwambie kwamba hakunaga siri duniani siku za mwiz arobaini msisitize pia mueleze madhara ya kuchepuka hasa issue ya magonjwa.

Nasisitiza msamaha ni muhimu maana Yesu ametuamuru japo inauma lkn hakuna namna.

Akija rudia ndo red card, waswahili wanasema kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa ni kosa.!

Shinda jaribu hilo kiongoz.!
Wewe ndiye Imma. Unataka EL ELYON aendelee kukutunzia mke wako?
 
Ndo ana mimba sasa ila sijafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.

Polee sana ndugu yangu! Huenda pia mimba ni ya mtu mwingine. Uamuzi ni wako kuvunja mkataba au kuongeza..
 
Support point yako
Hujamuoa kinachofanya upekenyue simu ni nini??

Na kama huna maamuzi achana na mamb ya simu yatakuumiza hata kama hachepuki!!,
Kuna wale marafiki miliozoeana sana na girls wengi wana hao marafiki wa kiume, ukiona convo zao waeza sema wanadate, kuna wanaomtongoza waliokuzido kila kitu.
Kuchunguza simu ni kujipa presha kipumbavu tu, na bahati mbaya zaidi ni kua huwezi kumuacha huyo mwanamke sasa unamchunguza wa nini??
 
Safi kabisa. Kabla hujafanya hivyo msikilize alichokuwa anataka kusema halafu mwambie aende zake ila tu kama nawe hujawahi mendea demu tangu umuoe vingine samehe muongee muyalize.
Mwanaume kumendea demu ni tofauti na mwanamke kumendewa na mwanaume mwingine. Asili(nature) inaruhusu mwanaume kuwa na mke zaidi ya mmoja wakati huohuo asili(nature) hairuhusu mwanamke kuwa na mume zaidi ya mmoja. Tangu kale katika historia ya ulimwengu huu, hakuna andiko linaonyesha kuwa, kuna wakati wanawake waliolewa na zaidi ya mume mmoja. Sheria ni msumeno haukati kotekote hasa kwenye suala la mapenzi/mahusiano/ndoa.
 
UPDATE.

👉 NIMEAMUA KUMSAFIRISHA KWAO KESHO ASUBUHI AKAE HUKO MPAKA ATAKAPOJIFUNGUA.
MAMBO MENGINE TAAMUA BAADA YA HAPO.
KAOMBA MSAMAHA WA MACHOZI KWAMBA ALIKUWA BWANA AKE LAKINI YE NDO ALIMUACHA SABABU IMA HAKUWA MWAMINIFU....

HAYO NDO MAAMUZI YANGU KWASASA 🤔
Mpaka hapo ndugu EL ELYON umetikisa mguu haujaanza kutembea. Kuchukua maamuzi ni suala moja na utekelezaji ni lingine. Mpaka hapo kwa taarifa ulizonazo kumhusu mkeo umeshaamua kumsamehe ila unapooza machungu ya kuchapiwa na Imma kwa kumuondoa na kumrudisha kwao bila wewe kuwa na uamuzi sahihi kichwani kwako kuwa anaenda kwao ndio jumla au kukupatia pumziko ya msongo na mawazo. Baada ya kutulia na kummiss utamrudisha. Tambua wazazi na wazee hawavunji ndoa ushauri wowote watakao kupa ni kumrudisha.

Key note;
1. Huyo anampenda Imma na sio kweli kuwa mwanamke alimwacha Imma isipokuwa Imma ndio alimwacha na yeye ndiye anajipeleka kwa Imma.
2. Mkeo sio mwaminifu na hakufai. Ana ujasiri gani huo hadi kuchati kwenye simu yako na mahawala?
3. Alishakukadiria akili zako na ndio maana alijua atakudanganya kirahisi tu. Yaweza kuwa kakukadiria kwa dawa zao za kuoumbaza au pengine wewe kuwa easy au kuwa mpuuzaji wa mambo yake yabkipuuzi.
4. Alishajiaminisha kuwa hauwezi kumgundua kwani ulimwacha huru na simu yake ikafika mahali akaona ni kawaida kwake kumiliki wanaume wawili hata zaidi kwa wakati mmoja.

Kwa maumbile ya wanawake yalivyo ni uchafu mwanamke kuwa malaya wa vile kwani mishahaw ya dume lingine inakuwa imebaki na mume wake usiku unaogelea humohumo. Ndio maana hata kwa vitabu vya miongozo ya dini malaya au kahaba siku zote ni mwanamke.
Hivi ni yupi hunajisika kati ya anayetema na kutemewa makohozi na akabaki nayo mwilni kwa masaa kadhaa? Je, ikiwa mtu mwingine ataanza kukufuta mate ya mtu mwingine hataona kinyaa? Ni rahisi tu wanawake walioolewa wanatakiwa kulitambua hilo. Lakini kwa kizazi hiki cha nyoka ni ngumu sana.

Hongera kwa msamaha na kumpeleka likizo mkeo maisha yasonge.
 
Safi kabisa. Kabla hujafanya hivyo msikilize alichokuwa anataka kusema halafu mwambie aende zake ila tu kama nawe hujawahi mendea demu tangu umuoe vingine samehe muongee muyalize.
Mwanaume kumendea demu ni tofauti na mwanamke kumendewa na mwanaume mwingine. Asili(nature) inaruhusu mwanaume kuwa na mke zaidi ya mmoja wakati huohuo asili(nature) hairuhusu mwanamke kuwa na mume zaidi ya mmoja. Tangu kale katika historia ya ulimwengu huu, hakuna andiko linaonyesha kuwa, kuna wakati wanawake waliolewa na zaidi ya mume mmoja. Sheria ni msumeno haukati kotekote hasa kwenye suala la mapenzi/mahusiano/ndoa.
 
Hata kama yeye anamchepuko, je inahalalisha mwanamke kuwa na mwanaume mwingine nje ikiwa ameolewa? Suala la mahusiano haliko sawa kati ya Mwanaume na mwanamke.
Kwani mkuu ww huna mchepuko mpaka umfatilie mkeo?
 
Kwanini mna oa huku hamjakomaa au kuwa tayari kuwa baba wa familia, mume na kiongozi kwa mkeo?
1.Acha kufanya mawasiliano ukijifanya wewe ndie mke, itakusaidia saana.
2.Acha kumchunguza mkeo, mke hachungwi kama mfugo.
3.Kama Kuna tatizo kwenye ndoa yako na unaona kukimbilia JF ndio utapata utatuzi jua kabisa wewe bado hujakomaa kuwa kiongozi wa familia yako.
NB. Kila ndoa inachangamoto zake, lakini kama mwanaume lazima uwe na kaba ya koo..hata kama uko kama ghost hapa JF lakini unachokifanya gizani ndio uhalisia wako. Ukiona mke amekushinda bora uhame uanze maisha mapya maana kwa kuwa hamjakomaa kiakili kuhandle matatizo ya ndoa mwishowe mtaishia kuua Wenza wenu na kujiua.
Sio dhambi kuishi peke yako.
Kwa akili hizi mtalishwa limbwata saana , na mtalea watoto wasio wenu Hadi mfe ...mtabebe majukumu mazito yatakayo wapa Ugumu wa maisha ili muishi Kama mapunda.

Mwanaume usie na intelligence na maisha yako wewe ni konokono tu unaenda mbele kwa sababu unatembea
 
Above all kama huwezi kumuacha usimfuatilie.....hata kama ungetengeneza rules 1000000 ila kuchapiwa kuko palepale
Hata wewe kuendelea kuwa mtumwa bado kuchapiwa kupo palepale hata ukeshe unamlamba matako
 
Ndo ana mimba sasa ila sijafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
Inawezekana hata hiyo mimba ni ya Huyo Msela.. Take care brother !!
 
Kupanic kwako kumekukosesha ukweli wote. Mtu ametuma meseji, unamuuliza wewe nani; anakujibu mimi fulani. Hivi kweli kama ni watu ambao wanawasiliana kila siku, ungemuuliza yeye ni nani si lazima angeshtuka? Hadi anamuomba picha, Ina maana hana picha zake, right? What if baada ya zile chats za wasap ndiyo akaamua kumpigia mkeo?

Shida ni kwamba ulikurupuka; ungetulia nina uhakika ungepata majibu sahihi. Bila shaka ni ex wake, lakini alikuwa ex wa muda gani? What if walishaachana kitambo huko na mwanaume ndiyo amenza kumtafuta sasa hivi?

Usifuatishe mkumbo wa wanaume wa JF; humu wao wanawake hawawasumbuagi, wanafukuza tu. Usijefanya maamuzi kwa hasira na ukawa umemuonea huyo mzazi mwenzako mtarajiwa na mtoto wenu; baadaye ukaja kujuta. Punguza hasira, utapata wakati mzuri wa kudigest hili. So far sijaona ushahidi wowote kuwa mkeo amechepuka na huyo mwanaume akiwa kwenye mahusiano na wewe.
Why is Imma back in her life na anakiri kuwa waliachana sababu ya cheating?
 
Back
Top Bottom