Mke wangu ameniacha njiapanda

Mke wangu ameniacha njiapanda

Nilichogundua kutoka kwa mwanamke
1. Mwanamke huwa ana mwanaune anayempenda kutoka moyoni hapo kwa mwanaume anayempenda anaweza kumla bure, wakati wowote hata kumsaidia fedha. Huwa anamheshimu sana na huwa ni ngumu kuchepuka. Mkeo anampenda sana huyo jamaa
2. Mwanamke anayekuwa na ww kwasababu unamtizimia mahitaji yake yaani chakula, kuvaa na sehemu ya kuishi ila moyoni hana upendo mara nyingi hapa ukiyumba kiuchumi lazima akukimbie na akikuvumila lazima achepuke. Kama utamkabidhi hela utakuta anaanza kujenga kwao. Ukimsamehe mkeo na kuishi naye, watabadili mbinu za kuendelea kugegedana na huyo jamaa kwa siri na hapo utajikuta una watoto 4, mmoja ndiyo wa kwako.
Kama unampenda mkeo na unataka uwe naye. Mpe likizo aende kwao muda huu maana ni muda ambao anajutia. Mwambie kabisa nakupa likizo ila nikisikia una mwanaume tofauti na ww ndoa ndiyo inakufa. Pole sana
Kugongewa kunauma sana ni zaidi ya msiba.
Yaap ndo sjaamua chochote mpk sasa namuangalia tu simsemeshi chochote wala smjibu chochote kile hata usiku huo chakula nilijpikia nikala ye kakaa huko room anajiliza.

Kama ni nyege za huyo jamaa kwanini anaendelea kuwasiliana naye why asimwambie yeye kwasasa ni mke wa mtu na ampige marufuku wanaongea na kuchart halafu nauliza ananidanganya kwanini adanganye.....🤔
 
Kwanza Mkuu una Watoto wangapi umezaa nae?

Uamuzi sahihi ni kumwacha aende zake tena upesi sanaa
Naunga mkono wazo lako kwa 100% . Lakini muulize jamaa aliziona hizo sms je na yeye ni muaminifu kwa mkewe? Je yeye hachepuki? Kama yupo perfect sawa lakini kama hayupo perfect basi huo ni mpango wa mungu kumuonyesha kuwa anachokifanya na mkewe anakifanya. Apotezee tu kama amezaa nae watoto
 
Ndo ana mimba sasa ila sijafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
Hata hyo mimba ukute sio yako mjuba umepigwa...
 
Naunga mkono wazo lako kwa 100% . Lakini muulize jamaa aliziona hizo sms je na yeye ni muaminifu kwa mkewe? Je yeye hachepuki? Kama yupo perfect sawa lakini kama hayupo perfect basi huo ni mpango wa mungu kumuonyesha kuwa anachokifanya na mkewe anakifanya. Apotezee tu kama amezaa nae watoto
Logic hii wanaume wa Kibongo hatuna. Ni mfumo dume huu na tunachukulia kuchepuka kama sifa mojawapo ya "uanaume" wetu. Wakati huo huo mwanamke anapaswa kuwa loyal 100%

Ni very unfair situation yaani...
 
Ndo ana mimba sasa ila sijafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
Hapa ndio mtiti ulipo, unagundua Mke ana cheat alafu ni Mjamzito...mimba ya nani?.
 
Oya maisha yana vitu vingi sana vya kufanya,achana na mapenzi yatakupotezea muda. Njoo huku Mafinga tulaze miti kama hatuna akili nzuri.
 
Ndo ana mimba sasa ila sijafunga naye ndoa ila mahari nishatoa. Nawaza kuachana naye tu arudi kwa bwana ake huko wakaendelee walipoishia.
Hata hiyo mimba ukute sio yako ni ya huyo jamaa yake wa kale.
 
Kwanza Mkuu una Watoto wangapi umezaa nae?

Uamuzi sahihi ni kumwacha aende zake tena upesi sanaa
Ataacha wote Sasa hajui anavyovutiwa na wake za wengine na yeye wa kwake ivyo ivyo. Kikubwa muonye achane naye. Kuna kuwa bored na kitu hata unakitaka kwa degree gani ya tamaa
 
Yaap ndo sjaamua chochote mpk sasa namuangalia tu simsemeshi chochote wala smjibu chochote kile hata usiku huo chakula nilijpikia nikala ye kakaa huko room anajiliza.

Kama ni nyege za huyo jamaa kwanini anaendelea kuwasiliana naye why asimwambie yeye kwasasa ni mke wa mtu na ampige marufuku wanaongea na kuchart halafu nauliza ananidanganya kwanini adanganye.....[emoji848]
Daah kwanini akudanganye? Inaonesha huyo alikua bado ana mipango nae ndio maana akakudanganya ili kumlinda.
 
Yani wewe akili yako ya upelelezi ni 0.... Ilitakiwa utengeneze full picture ambayo hawezi ruka ikiezekana hadi umwite mshikaji na aje then unamwaga huyo mwanamke mazima.. umeharibu ushahd yani
Kabisa yani, jamaa kaharibi ushahidi. Ila kwa hivo vielelezo vinatosha kabisa mtu kupakiwa kwenye Kimbinyiko kurudi kwao Migoli.
 
Wapo waliowafumania wake zao ila still waliwasamehe na maisha yakaendelea.
Kusamehe ni ibada.
Hivi mkuu ingekua niwewe ndo umekutwa na hali kama hiyo na mke wako ungekubali??? tena kwa haraka namna hyo hii namba ni ya nani ungejibu ni ya mpenz wako au ex wako??
Uongo wake ulikua na lengo la kujidefend tu ambavyo hata wewe ungefanya.

Uamzi ni wako mkuu.
Yani wewe ni VILLAGE FOOLER haswaa!
 
Kabisa yani,jamaa kaharibi ushahidi. Ila kwa hivo vielelezo vinatosha kabisa mtu kupakiwa kwenye Kimbinyiko kurudi kwao Migoli.
Ninyi watu wa siku hizi mmekuwa wa ajabu sana. Kwa hiyo huo ushahidi anakusanya ili nani autumie kama sio yeye. Yeye ndiye mwenye maamuzi yaani mpelelezi na hakimu. Hata hiyo sms tu bila hata kumuuliza maswali mwanamke inamtosha kufanya maamuzi akitaka. Zaidi ya hapo unataka kudanganywa na ndio hapo wanaume vilaza hushindwa.
 
Back
Top Bottom