Ndoa nyingi sana za kisasa mwanamke ndie anafanya maamuzi ya kufanya kitu bila kuomba ruhusa kwa mume wake . Ila mwanaume bado anafanya majukumu.
Mwanamke anaweza akaamua kwenda popote anapotaka bila kumuomba mumewe ruhusa zaidi ya kumpa taarifa tu.
Ila mwanaune huyo huyo ambaye haombwi ruhusa ( yaani hana Authority) bado anabebeshwa majukumu