Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Anakukagua kama waliwa, dunia imeharibika.Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.
Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.
Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.
Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.
Mwanamme usilale bila kuvaaa boxer, bukta au surual kabisaJana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.
Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.
Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.
Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.
HahahahWanawake sijui wanaambiana nini kuhusu makalio yetu wakiwa kwenye vikao vyao. Kuna mwingine aliwahi kushtuka usiku akakuta mkewe ana mmulika na tochi matakoni.
Umeweza kutambua picha ya matako yako,hongeraJana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.
Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.
Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.
Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.
Bado anakupiga picha mkuu!Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.
Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.
Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.
Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.
HahahaUmeweza kutambua picha ya matako yako,hongera
Nilijua nimeshaona yote😁😁Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.