Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.

Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.

Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.

Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.
Anakukagua kama waliwa, dunia imeharibika.
 
Mwanamme usilale bila kuvaaa boxer, bukta au surual kabisa
 
Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.

Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.

Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.

Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.
Umeweza kutambua picha ya matako yako,hongera
 
Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.

Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.

Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.

Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.
Bado anakupiga picha mkuu!
 
Nilijua nimeshaona yote😁😁
 
Back
Top Bottom