mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
haiwezekani afunuliwe mara 71 bila kushtuka hata mara moja🤣 🤣 🤣 🤣 aloo ulalaji gani uo adi ufunuliwe hustuki. Pole sana, mkalishe kwa busara umuulize lengo hasa za picha za kufedhehesha hivyo lilikuwa ni lipi?
Nitumie picha nithaminisheJana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.
Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.
Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.
Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.
Tayari umeshafungua code iliyofungwa kwa mnyororo mkubwa.Daaa sema sio mbaya mkeo anajaribu kutafuta soko ili mtoke kwenye nyumba ya kupanga
yapakwe mafuta yang'ale tumpakie nani ili aoneNi kwa sababu yamepauka...
NB: Wanaume mpake mafuta makalio yenu jamani...
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 aloo nimecheka kama mwehuWanawake sijui wanaambiana nini kuhusu makalio yetu wakiwa kwenye vikao vyao. Kuna mwingine aliwahi kushtuka usiku akakuta mkewe ana mmulika na tochi matakoni.
Ndio utulie ufunuliwe sasaMtu yupo kwake unataka alale kimachale kama yupo jela?
Ebu fikiria na wewe, afu kuna mwingine huku anahoji eti mtu yupo kwake nataka alale kama yupo jela? Yaani unalala unafunuliwa na picha unapigwa hustuki ahMwanaume unalalaje kizembe ivo
Hapo napo kwa kweli inaweza kuwa ni chai hiihaiwezekani afunuliwe mara 71 bila kushtuka hata mara moja
huu ni uongo