Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

bwana usiogope,sie wanawake pia hua tunapenda sana kugusa na kuangalia body shapes za wanaume wetu.

ukiona hivo ujue anapenda sana your butts[emoji4] cas uko vizuri on bed, usijari kijana wangu

sema jitahidi uwe unavaa pensi au boxer ukiwa unalala kijana, dont sleep totaly naked sio vizuri sana ila now do that cas ushajua mkeo anapenda kukutazama
 
Wapi BRAZA CHOGO, wapi Poor Brain.

Oyaaa! Monetary doctor njoo kashuhudie vituko uswahilini.
Ila Kuna watu wannalala vipi sijui unaweza mshika unavyotaka akiwa ni sampuli hii basi tena

Sasa analala uchi mpaka wife kapiga Haga picha na kama ni boxer huyo mke ana ujasiri gani wa kumshusha boxer na hakuna ajenda ya kuchakata??

Na mkewe anatafuta nini kwenye matako ya jamaa ama ana mzigo wa haja ?

Ama ukute mke ana mchepuko ko wakati anam chakata ana mwambia ngoja nikunyooshe na nataka picha za makalio ya mumeo hapa 😂
 
Comment #8 imesababisha nicheke sana na kuhuzunika pia. Wewe jamaa una akili sana

Ushauri wangu kwa mdau naona kama angeamua tu kuzifuta zote na kwenye recycle bin kisha akavunga kama hakuna kilichotokea. Mke akija kuuliza baada ya kushtuka ndiyo abananishwe sasa. Au anaweza asiulize akajidai kupiga nyingine basi hapo hapo atashikwa maana tayari jamaa atakuwa analala kimachale tangu ashtukie mchezo
 
Nadhani mke wa Mtunisia mweusi ni BRAZA CHOGO au Mshangazi kwa sababu hakuna mtanzania mwingine mwenye tabia kama zile.
 
Tuwekee tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…