Mke wangu amenyoa nywele na zilikuwa zinanivutia sana

utoto
 
Na za kwenye papuchi kanyoa?
Ila shukuru kakupunguzia cost mkuu.
 
Mzee baba kwani nywele si zitaota tena?

Pia tujifunze kuacha ubinafsi, pamoja na kuwa huyo ni mkeo lakini pia ni mwanadamu kama wewe...

Kuna mambo yanayomkera mwilini mwake, na yapo yanayomfurahisha pia...

Unachotakiwa kufanya ni kumsupport na sio vinginevyo...

By the way yale mavitu huwa wanaweka kichwani kurefusha nywele sehemu kubwa ni sumu tu zile...

Kuna wadada wanapendeza na ufupi wa nywele zao, mathalani Nakaaya, J.Mengi, Flavi au Lizzy Michael
 
Ishu ndogo Sana hiyo kwa sababu hajakushirikisha nawe ungekaa kmy usingemwuliza kwa nini amenyoa fanya Kama hujaona
 
Muambie kwa utaratibu kuwa hizi nywele zake zinakuvutia sana na unapend kuziona mara zote unapokuwa nae.
 
Nilivyoona title tu nikazani ni nywele za kule downtown...kumbe wapi..!!
 
Mtoa mada upo sahihi kabisa.
Alipaswa akushirikishe hasa kama huwa unamweleza namna unavyozipenda nywele zake. Mbali na kunyoa hata kama alitaka kuweka dawa ilipaswa akushirikishe. Sisi wengine tunawashirikisha wapenzi wetu hadi mitindo tunayotegemea kwenda kusuka ili watuchagulie mmoja au watushauri.

Wanaume wengi wanapenda sana nywele, na kitu mwanaume anachokipenda kwa mwanamke sio cha kukipuuzia eti kwa madai "kama ulinipendea nywele" anatakiwa ajue yeye ni pambo /ua kwa mumewe anatakiwa awe kwenye namna ambayo mume wake anapenda cha msingi mume awe anatoa huduma.
 
Siyo sawa mkeo kunyoa nywele bila kukutaarifu. Sioni sababu kusema kweli hasa kama alikuwa siku zote anazitunza vizuri. Mchepuko labda unaweza kuweka sheria zake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unajua michepuko pamoja na kuwa wanajua kuna mwenye mali zake lakini huweka sheria zao za kupingana na mume kwa mfano wiki hii yote usimpe K hadi mimi nikugegede weekend ijayo na K atatafuta kila sababu hata kama itazua varangati la kufa mtu na mumewe lakini K hatatoa hadi ampe kwanza mchepuko.

 
Pole sana, I guess something is wrong somewhere be prepared
 
Kuna mtu kamwambia anapenda kipara...
 
Mkeo vile umeshamuoa anaona kamaliza kazi haitaji Tena kuwa smart, au ukute ana mimba na akizaa jiandae kujiachia kwake rafu, kunenepa Hadi utafte mchepuko. No wanawake wachache huendelea kujipenda baada ya ndoa, maana ndoa huamini wamefika mwisho.
 
Mkeo vile umeshamuoa anaona kamaliza kazi haitaji Tena kuwa smart, au ukute ana mimba na akizaa jiandae kujiachia kwake rafu, kunenepa Hadi utafte mchepuko. No wanawake wachache huendelea kujipenda baada ya ndoa, maana ndoa huamini wamefika mwisho.
Sasa mtu upo ndani ya ndoa, ujisumbue iweje? Karibu chamani dea, ndoa tamu na chungu vile vile, tunapambana tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…