Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Duu yaani watu mnawaza tofauti na mleta mada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu yaani watu mnawaza tofauti na mleta mada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ukibadilisha overall na kuvaa suruali size yako hatazinyoa nywele.Unataka uzione nywele wakati hauzitunzi? Kwa sasa nunua super glue nenda saluni okota nywele akilala zibandike.Utakuja kunishukuruHabari wakuu, mimi sio mgeni jamiiforums mara nyingi hapenda tu kuangalia nyuzi za watu na kuchangia inapobidi.Leo nimeona niwashirikishe yaliyonisibu
Nipo kwenye ndoa zaidi ya mwaka sasa na kati ya vitu vilivyonivutia na vinavyonivutia sana kwa mke wangu kwakweli ni nywele zake zilivyo ndefu na natural na yeye pia analifahamu hili manake nimekua nikimuambia mara kwa mara.
Cha ajabu Jana wife kafika nyumban amenyoa nywele zote na wala hakunifahamisha kama atanyoa na wala sikuona dalili zozote kama hili litatokea.
Kwa kweli imeniuma sana na mpaka sasa bado inauma nahisi kama amenidharau kwa kutokunishirikisha kwenye jambo la muhimu kama hilo.
Sura imebadilika ata kutoka nae out nadhani itakua changamoto nilimuuliza sababu za kunyoa anasema kua amezichoka nywele ndefu na wala hazitaki tena.
Nimemuambia ninavyohisi anadai kama nlipenda nywele na sio yeye basi ananipa pole. ninaanza kupata wasiwasi kua anaanza kubadilika manake naanza kuona kama dharau zinakuja kwa mbali.
Wakuu embu nitoeni wasiwasi, ni mimi nawaza vibaya ama ndo tayari mwanamke anataka kunipanda kichwani?
Subiri kwanza ukue mkubwa ndio utafaidi. Kwasasa uache uchochezi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1861166
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usituharibie bwana!
Mie niliambiwa ninyoe[emoji1787][emoji1787]Na wewe unachana au unasuka?
Mie niliambiwa ninyoe[emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].hivi unajua kwa nini siku ya harusi bwana harusi anakuwa amenuna na bibi harusi kafurahi?? haya umeshapata jibu[emoji3][emoji3][emoji3]Habari wakuu, mimi sio mgeni jamiiforums mara nyingi hapenda tu kuangalia nyuzi za watu na kuchangia inapobidi.Leo nimeona niwashirikishe yaliyonisibu
Nipo kwenye ndoa zaidi ya mwaka sasa na kati ya vitu vilivyonivutia na vinavyonivutia sana kwa mke wangu kwakweli ni nywele zake zilivyo ndefu na natural na yeye pia analifahamu hili manake nimekua nikimuambia mara kwa mara.
Cha ajabu Jana wife kafika nyumban amenyoa nywele zote na wala hakunifahamisha kama atanyoa na wala sikuona dalili zozote kama hili litatokea.
Kwa kweli imeniuma sana na mpaka sasa bado inauma nahisi kama amenidharau kwa kutokunishirikisha kwenye jambo la muhimu kama hilo.
Sura imebadilika ata kutoka nae out nadhani itakua changamoto nilimuuliza sababu za kunyoa anasema kua amezichoka nywele ndefu na wala hazitaki tena.
Nimemuambia ninavyohisi anadai kama nlipenda nywele na sio yeye basi ananipa pole. ninaanza kupata wasiwasi kua anaanza kubadilika manake naanza kuona kama dharau zinakuja kwa mbali.
Wakuu embu nitoeni wasiwasi, ni mimi nawaza vibaya ama ndo tayari mwanamke anataka kunipanda kichwani?
Hongera sanaDah, aisee!