Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Duuh kwani kunyoa niutamaduni au maamuzi mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] wee dea bhana, bas sawaah.Kuwa ndoani sio kigezo Cha kujiweka rafu na kunyoa ka dume bana
Mkeo ana akili ndogo sana.Habari wakuu, mimi sio mgeni jamiiforums mara nyingi hapenda tu kuangalia nyuzi za watu na kuchangia inapobidi.Leo nimeona niwashirikishe yaliyonisibu
Nipo kwenye ndoa zaidi ya mwaka sasa na kati ya vitu vilivyonivutia na vinavyonivutia sana kwa mke wangu kwakweli ni nywele zake zilivyo ndefu na natural na yeye pia analifahamu hili manake nimekua nikimuambia mara kwa mara.
Cha ajabu Jana wife kafika nyumban amenyoa nywele zote na wala hakunifahamisha kama atanyoa na wala sikuona dalili zozote kama hili litatokea.
Kwa kweli imeniuma sana na mpaka sasa bado inauma nahisi kama amenidharau kwa kutokunishirikisha kwenye jambo la muhimu kama hilo.
Sura imebadilika ata kutoka nae out nadhani itakua changamoto nilimuuliza sababu za kunyoa anasema kua amezichoka nywele ndefu na wala hazitaki tena.
Nimemuambia ninavyohisi anadai kama nlipenda nywele na sio yeye basi ananipa pole. ninaanza kupata wasiwasi kua anaanza kubadilika manake naanza kuona kama dharau zinakuja kwa mbali.
Wakuu embu nitoeni wasiwasi, ni mimi nawaza vibaya ama ndo tayari mwanamke anataka kunipanda kichwani?
Sikujuaga kuwa una AKILI KUBWA hiviMtoa mada upo sahihi kabisa.
Alipaswa akushirikishe hasa kama huwa unamweleza namna unavyozipenda nywele zake. Mbali na kunyoa hata kama alitaka kuweka dawa ilipaswa akushirikishe. Sisi wengine tunawashirikisha wapenzi wetu hadi mitindo tunayotegemea kwenda kusuka ili watuchagulie mmoja au watushauri.
Wanaume wengi wanapenda sana nywele, na kitu mwanaume anachokipenda kwa mwanamke sio cha kukipuuzia eti kwa madai "kama ulinipendea nywele" anatakiwa ajue yeye ni pambo /ua kwa mumewe anatakiwa awe kwenye namna ambayo mume wake anapenda cha msingi mume awe anatoa huduma.
BibieMkeo vile umeshamuoa anaona kamaliza kazi haitaji Tena kuwa smart, au ukute ana mimba na akizaa jiandae kujiachia kwake rafu, kunenepa Hadi utafte mchepuko. No wanawake wachache huendelea kujipenda baada ya ndoa, maana ndoa huamini wamefika mwisho.
Watu wengi hawajui kuwa kabla mwanaume hajataka papa huwa kuna vitu vimetangulia kumvutia.Vitu vya kudharau vya wenzi wetu hufanya mapenzi kufa licha ya kupewa papuchi ila vitu tunavo ignore ndo huua mapenzi
Nyie ndio mnasababisha wanaume kuwa machokoraa kusaka papa mpya...tunza mvuto umtulize mumeoSasa mtu upo ndani ya ndoa, ujisumbue iweje? Karibu chamani dea, ndoa tamu na chungu vile vile, tunapambana tyuuh.
Dah, aisee!Sikujuaga kuwa una AKILI KUBWA hivi
Acha uchochezi we mtoto!!Siyo sawa mkeo kunyoa nywele bila kukutaarifu. Sioni sababu kusema kweli hasa kama alikuwa siku zote anazitunza vizuri. Mchepuko labda unaweza kuweka sheria zake [emoji23][emoji23][emoji23] unajua michepuko pamoja na kuwa wanajua kuna mwenye mali zake lakini huweka sheria zao za kupingana na mume kwa mfano wiki hii yote usimpe K hadi mimi nikugegede weekend ijayo na K atatafuta kila sababu hata kama itazua varangati la kufa mtu na mumewe lakini K hatatoa hadi ampe kwanza mchepuko.
Acha uchochezi we mtoto!!
Mzee ni nani tena?Acha uchochezi we mtoto!!
Habari wakuu, mimi sio mgeni jamiiforums mara nyingi hapenda tu kuangalia nyuzi za watu na kuchangia inapobidi.Leo nimeona niwashirikishe yaliyonisibu
Nipo kwenye ndoa zaidi ya mwaka sasa na kati ya vitu vilivyonivutia na vinavyonivutia sana kwa mke wangu kwakweli ni nywele zake zilivyo ndefu na natural na yeye pia analifahamu hili manake nimekua nikimuambia mara kwa mara.
Cha ajabu Jana wife kafika nyumban amenyoa nywele zote na wala hakunifahamisha kama atanyoa na wala sikuona dalili zozote kama hili litatokea.
Kwa kweli imeniuma sana na mpaka sasa bado inauma nahisi kama amenidharau kwa kutokunishirikisha kwenye jambo la muhimu kama hilo.
Sura imebadilika ata kutoka nae out nadhani itakua changamoto nilimuuliza sababu za kunyoa anasema kua amezichoka nywele ndefu na wala hazitaki tena.
Nimemuambia ninavyohisi anadai kama nlipenda nywele na sio yeye basi ananipa pole. ninaanza kupata wasiwasi kua anaanza kubadilika manake naanza kuona kama dharau zinakuja kwa mbali.
Wakuu embu nitoeni wasiwasi, ni mimi nawaza vibaya ama ndo tayari mwanamke anataka kunipanda kichwani?
Hapa mdau anamaanisha maandiko yanaposema ishini nao kwa akili..na wew umemdhihilishia huna akili ..kama hata kutokumuelewa mdau simple issue wew jiangalie sanakivipi mkuu?
Subiri kwanza ukue mkubwa ndio utafaidi. Kwasasa uache uchochezi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ujue nakaribia kuwa mkubwa nianze kufaidi kama wakubwa. Nimesoma humu mara nyingi tu wakubwa wanafaidi. [emoji12]
Mimi.Mzee ni nani tena?
[emoji23][emoji23][emoji23]Atakupandaje kichwani wakati huna akili?