Mke wangu amenyoa nywele na zilikuwa zinanivutia sana

Mke wangu amenyoa nywele na zilikuwa zinanivutia sana

Umeona eh!!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ugomvi mkubwa kabisa kisa mke kanyoa vuzi 🀣🀣🀣🀣🀣 Niliwahi kusikia ugomvi mkubwa kabisa hadi kikao cha marafiki wa karibu sana Mume kanuna kisa mkewe kamwambia ana nyege anaomba apelekewe moto. Jamaa kanuna kabisa eti kama nisingekuwepo ungempa nani K? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£ lakini baadaye ikaja julikana yule mama mrembo sana aliyeumbwa akaumbika kila eneo kumbe alikuwa anampa utamu dreva wake.

Hahahhahhahahhaa umenikumbusha kesi zisizokuwa na akili ila zina akili!

Vile hiyo ni kesi kubwa sana.
 
Umeona eh!!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ugomvi mkubwa kabisa kisa mke kanyoa vuzi 🀣🀣🀣🀣🀣 Niliwahi kusikia ugomvi mkubwa kabisa hadi kikao cha marafiki wa karibu sana Mume kanuna kisa mkewe kamwambia ana nyege anaomba apelekewe moto. Jamaa kanuna kabisa eti kama nisingekuwepo ungempa nani K? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£ lakini baadaye ikaja julikana yule mama mrembo sana aliyeumbwa akaumbika kila eneo kumbe alikuwa anampa utamu dreva wake.
Ila kuna relationship ni shidaaaa!!
Sasa kumwambia mtu unavyojiskia ni tatizo?
Wooooih?
Acha agongewe tu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Jamaa alikuwa na michepuko mingi sana hivyo akirudi home amekaukiwa anadai kachoka kazi nyingi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜œπŸ˜œ si unajua tena vingunge. Mpaka hiyo siku mke alipomtolea uvivu kudai haki yake.

Ndo akome.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Binadamu wote tunaviungo ila lazima kunamtu utampendea kiungo fulani kwa sababu kina mvuto kuliko wengine.Watu watachukulia masihara lakini kiuhalisia unaweza achana na mtu kutokana na kisababu kidogo sana,maana ndicho kilichokufanya umpende na kumtofautisha na wengine wote
 
Habari wakuu, mimi sio mgeni jamiiforums mara nyingi hapenda tu kuangalia nyuzi za watu na kuchangia inapobidi.Leo nimeona niwashirikishe yaliyonisibu

Nipo kwenye ndoa zaidi ya mwaka sasa na kati ya vitu vilivyonivutia na vinavyonivutia sana kwa mke wangu kwakweli ni nywele zake zilivyo ndefu na natural na yeye pia analifahamu hili manake nimekua nikimuambia mara kwa mara.
Nywele ndefu hata mimi zinanikera sana 😑😑😑
 
Itakuwa una ugonjwa kama wanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Napenda sana wanawake wenye nywele.
 
My take
Kuna personal preference wanawake tunaopenda nywele...binafsi i always wear my hair long and i love it...

na kuna suala mumeo anapenda pia hicho kitu

Ni vizuri kubalance kati ya personal preference na taste ya mwenzako ili aendelee kuvutiwa na wewe
Mfano long hair zimekuchosha unapenda maji kichwani every now and then.kuliko kukata kabisa have a style utakayoosha every week or twice a week...

like ur own hair ama knots.,

tukubali tukatae nywele zinaongeza uzuri wa mwanamke na haiba ya kike..

wengine licha ya kupenda nywele kwa kweli hata km nisingezipenda siwezi kuzikata mana jamaa ananyoa upara every week!!inakuwaje wote hatuna nyweleπŸ˜…
 
Mtoa mada upo sahihi kabisa.
Alipaswa akushirikishe hasa kama huwa unamweleza namna unavyozipenda nywele zake. Mbali na kunyoa hata kama alitaka kuweka dawa ilipaswa akushirikishe. Sisi wengine tunawashirikisha wapenzi wetu hadi mitindo tunayotegemea kwenda kusuka ili watuchagulie mmoja au watushauri.

Wanaume wengi wanapenda sana nywele, na kitu mwanaume anachokipenda kwa mwanamke sio cha kukipuuzia eti kwa madai "kama ulinipendea nywele" anatakiwa ajue yeye ni pambo /ua kwa mumewe anatakiwa awe kwenye namna ambayo mume wake anapenda cha msingi mume awe anatoa huduma.
Ni kweli,bi dada kafanya kosa..kafanya maamuzi bila kumshirikisha mume wake.
 
Anataka apake bleach nini[emoji28]
Poleh sana
Bleach si hata ndefu unaweka tu[emoji1787][emoji1787]

Kaamua..

Nywele zinachosha..mimi binafsi siwezi kukaa na nywele more than 4 years. Hapa sijanyoa since 2017 na muda wowote nazikata naanza upya.
 
Duh! Labda alichoka kusuka..ata kama alichoka na ananywele ndefu si angekuwa anazibana tu,Sitokuja kufanya hili kosa...wengina mibichwa yetu kama tenga,tukinyoa tunakuwa kituko.
 
Mkeo amekosea kutokushirikisha kabla hajakata nywele ila inawezekana vilevile alishakugusia lakini ukamkatalia so akaona afanye ile kitu roho inapenda.

Hakufanya kitu kibaya kwasababu nywele ni zake na zitaota tena na wakati mwengine wanawake tunachoka na style mmoja ya nywele so tunapenda mabadiliko.

Kuna mdau amegusia pia mwanamke akikata nywele ghafla ni ishara kuna kitu anapitia.Chunguza kama kuna jambo linamsibu.Wakati mwengine yupo kwenye rough path anaona hata nywele zinampa tafrani.Kunyoa nywele zote ni kama kustart over!
 
Duh! Labda alichoka kusuka..ata kama alichoka na ananywele ndefu si angekuwa anazibana tu,Sitokuja kufanya hili kosa...wengina mibichwa yetu kama tenga,tukinyoa tunakuwa kituko.
[emoji118]
 
Mbona ni jambo dogo sana hilo? huenda ana mpango zikiota aanze kusuka tena.
 
Back
Top Bottom