Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Kwa hiyo service providers wa bongo hawana security nzuri kwa wateja wao?Kuna vitoto vimesoma IT havina ajira hizo program za spy ndio dili zao.
Hakuna cha Tcra hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo service providers wa bongo hawana security nzuri kwa wateja wao?Kuna vitoto vimesoma IT havina ajira hizo program za spy ndio dili zao.
Hakuna cha Tcra hapo.
Linawezekana sana.Hiii ni chai otherwise uwe unatumia number iliyosajiliwa kwa majina ya mke wako.
Ubarikiwe sana dada.Trust me
Mna chance kubwa sana ya kutatua matatizo yenu mkiwa wawili kuliko kuhusisha watu
Hapa ndo kuna hoja ya msingi. Anachapiwa!Ukitaka kukomesha hiyo tabia nenda TCRA ukawaeleze. Nakwambia utampata mpaka aliyemprintia hizo docs. Na usikute unachapiwa sasa anaona akuchunge wewe usiwe kama yeye
Yani atoke Jela kisha arudi kwa mumewe tena?
Ni bora wasioe kama inashindikana kukaa nao kwa akiliHapa ndo kuna hoja ya msingi. Anachapiwa!
Hivi tuwaambieje watu waachane na kuoa oa!
Mkuu nakuhakikishia sio chai hilo swala linawezekana ila kisheria ni kesi kubwa sana mkuu na unaweza lipwa fedha nzuri tuHiii ni chai otherwise uwe unatumia number iliyosajiliwa kwa majina ya mke wako.
We jamaa aisee usiseme hivyo nimeona vyakuona nimefanya vyakufanya nakumbuka mara ya mwisho kuna jamaa alitaka kumchinja mkewe mbeya ndio nikaacha michezo michafu ila bro acha kabisa wabongo njaa kali ukimpa hela kidogo tu anasanua vizuri tu...Bado ni ngumu kutoa taarifa za mteja kwa mtu mwingine. Hili jambo labda tulirudishe jukwaa la Technology tujirizishe kuwa taarifa zake zimetolewa na kampuni ya simu bila ridhaa yake.
Sio hata ngumu mkuubado sio rahisi mkuu hata kama kuna mtu unamfahamu..... ni ngumu kuliko tunavowaza...
ndoa ni ya watu wawili.. kama kuongeza watatu awe Mungu kama yupo kati kati ya ndoa bado..Trust me
Mna chance kubwa sana ya kutatua matatizo yenu mkiwa wawili kuliko kuhusisha watu