The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Tatizo ni kwamba wataishi maisha ya mashaka mashaka na hawato aminiana tena.Tatizo liko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni kwamba wataishi maisha ya mashaka mashaka na hawato aminiana tena.Tatizo liko wapi?
Hapo walipo sasa hivi hawaaminiani😅😅Tatizo ni kwamba wataishi maisha ya mashaka mashaka na hawato aminiana tena.
Inawezekana. Naitoaje hiyo kama ni kweli
I hope so,inaonyesha Mume sasa hivi hamuamini tena Mkewe na Mke alikua hamuamini kabisa Mumewe ila baada ya kuhakikishiwa kua Mumewe alikua mkoani na sio Dar,huenda akapata unafuu nakubadilika But ikifikia stage ya Mume kusababisha mke kwenda Jela basi hakutakua na maana tena ya kuishi kama Mke na Mume,pia itavuruga mpaka maelewano ya familia zao na haitaleta picha nzuri kwa watoto wao wakija kukua na kujua hiyo habari,kama wana watoto.Hapo walipo sasa hivi hawaaminiani😅😅
Mke alishakua tayari kumpoteza mume kutambo tu, ndiyo maana anafanya jitihada za kutafuta kila namna ya kutemana naye.Akitaka kufanya hivyo basi awe tayari kumpoteza Mkewe coz nae ataunganishwa kwenye hiyo kesi.
We Manka una hatari!Najua. Aende jela pesa ipatikane😀
Noted. ThanksMzee baba mimi ni mvivu kuandika...ila google how to get rid of spyware or stalkerware from android/ios phones...
Kama unaona ni kazi kusoma, basi backup your data and then factory reset simu au la hasha kama una simu nyingine achana na hiyo unatumia sasa...
Kabisa chifuI hope so,inaonyesha Mume sasa hivi hamuamini tena Mkewe na Mke alikua hamuamini kabisa Mumewe ila baada ya kuhakikishiwa kua Mumewe alikua mkoani na sio Dar,huenda akapata unafuu nakubadilika But ikifikia stage ya Mume kusababisha mke kwenda Jela basi hakutakua na maana tena ya kuishi kama Mke na Mume,pia itavuruga mpaka maelewano ya familia zao na haitaleta picha nzuri kwa watoto wao wakija kukua na kujua hiyo habari,kama wana watoto.
1, hapo ni kwamba mkeo ana mtu ndani ya hyo kampuni ya simu na wana uhusiano mzito sana sabab mhusika alifanya hayo akiwa tayar hata kuikosa kazi yake.Wakuu!
Wiki 2 zilizopita nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa kazi ya siku 5. Siku moja kabla ya kurudi nyumbani nikaongezewa kazi ya wiki moja nyingine.
Kimbembe kikawa kwa wife nyumbani hakunielewa. Kukatokea kupishana ila mm sikujali sana coz sikuichukulia serious sana na kweli nilikuwa mkoani kikazi. Yeye akawa anadai nipo hapahapa Dar kwa michepuko yangu.
Sasa jana nimerudi home toka mkoa nimekuta ana printout ya mawasiliano yangu yote ya kwenye simu. Kwa maana ya kwamba niliifuma karatasi inayoonyesha nimewasiliana nani, wakati gani, yupo wapi na mm nikiwa wapi. Na nilimpombana zaidi akadai ana uwezo wa kupata mpk voice clip zangu kwa ninaowasiiliana nao.
Japo ilimthibitishia ni kweli nilikuwa nimesafiri lkn imeniogopesha sana. Kwa stage hii aliyofikia huyu anaweza kunidukua chochote kile kwenye simu yangu.
Wataalam wa sheria naomba mnisaidie hii kisheria imekaaje, Je kwa kuwa yeye ni mke halali wa ndoa, ni haki yake kupewa hizo taarifa? Vp kama nikiamua kuishtaki hiyo kampuni mimi kama mteja wao je sheria itanibeba?
Sina nia ya kuprocess kesi yoyote lkn nataka tu kufahamu.
Majibu yenu tafadhali.
[emoji2297]🥱🥱Mke alishakua tayari kumpoteza mume kutambo tu, ndiyo maana anafanya jitihada za kutafuta kila namna ya kutemana naye.
Akilazimisha matokeo yake mtakua wa kwanza ku post humu nyuzi za "mke amfanyi hivi au vile mume wake" na watu mtaanza ku comment "jamaa alizingua, pale alipoona hivi tu alitakuwa ampige chini maana hawasomeki". Mtamlaumu na kusema magonjwa ya akili yanazidi kukua.
kama itapelekea kuachana basi ni bora aachane naye huku akiambulia faida ambayo wanaweza kugawana pia
Sisi mtuachage tu ila wewe unanichokoza haya niache Jana ulisemaje??Au mkewe ana mchepuko wake kwenye hiyo kampuni ya simu
Tupate pesa banaaWe Manka una hatari!
suuuuuuusema su, nitume doc hapa
Aiseee anakwambia hata ubadili line?Inawezekana, mimi nikiwa second year simu yangu ilidukuliwa na demu wangu wa 3rd year tena akaniambia kabisa hata ubadilishe line ntakudukua labda uhame mtandao wa tigo. Ilibidi tuachane tu