Mke wangu amepewa taarifa zangu na mtandao wa simu. Kisheria imekaaje?

Wahenga walisema usimuwekee mtego wa kumfumania kama huna uwezo wa kumuacha.

Kuchunguzana mambo ya simu kwa wapenzi au wanandoa ni ucccchinga na ushamba, kama mtu unaona humuamini si umuache kuliko kuforce maugomvi yasiyo na masingi.
 
Anawezekana ana mtu kwenye kampuni...
Trust me. Watu wanafanya mambo unayoyaona hayawezekani
Bado ni ngumu kutoa taarifa za mteja kwa mtu mwingine. Hili jambo labda tulirudishe jukwaa la Technology tujirizishe kuwa taarifa zake zimetolewa na kampuni ya simu bila ridhaa yake.
 
Wakuu!

Wiki 2 zilizopita nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa kazi ya siku 5. Siku moja kabla ya kurudi nyumbani nikaongezewa kazi ya wiki moja nyingine.

Kimbembe kikawa kwa wife nyumbani hakunielewa. Kukatokea kupishana ila mm sikujali sana coz sikuichukulia serious sana na kweli nilikuwa mkoani kikazi. Yeye akawa anadai nipo hapahapa Dar kwa michepuko yangu.

Sasa jana nimerudi home toka mkoa nimekuta ana printout ya mawasiliano yangu yote ya kwenye simu. Kwa maana ya kwamba niliifuma karatasi inayoonyesha nimewasiliana nani, wakati gani, yupo wapi na mm nikiwa wapi. Na nilimpombana zaidi akadai ana uwezo wa kupata mpk voice clip zangu kwa ninaowasiiliana nao.

Japo ilimthibitishia ni kweli nilikuwa nimesafiri lkn imeniogopesha sana. Kwa stage hii aliyofikia huyu anaweza kunidukua chochote kile kwenye simu yangu.

Wataalam wa sheria naomba mnisaidie hii kisheria imekaaje, Je kwa kuwa yeye ni mke halali wa ndoa, ni haki yake kupewa hizo taarifa? Vp kama nikiamua kuishtaki hiyo kampuni mm kama mteja wao je sheria itanibeba?

Sina nia ya kuprocess kesi yoyote lkn nataka tuu kufahamu.

Majibu yenu tafadhali.
Mchunguze mwenendo wake pengine umeoa JINI.
 
Bado ni ngumu kutoa taarifa za mteja kwa mtu mwingine. Hili jambo labda tulirudishe jukwaa la Technology tujirizishe kuwa taarifa zake zimetolewa na kampuni ya simu bila ridhaa yake.
Ni rahisi kama mtu anayefanya huko unafahamiana nae ila ni kosa kisheria
 
Wakuu!

Wiki 2 zilizopita nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa kazi ya siku 5. Siku moja kabla ya kurudi nyumbani nikaongezewa kazi ya wiki moja nyingine.

Kimbembe kikawa kwa wife nyumbani hakunielewa. Kukatokea kupishana ila mm sikujali sana coz sikuichukulia serious sana na kweli nilikuwa mkoani kikazi. Yeye akawa anadai nipo hapahapa Dar kwa michepuko yangu.

Sasa jana nimerudi home toka mkoa nimekuta ana printout ya mawasiliano yangu yote ya kwenye simu. Kwa maana ya kwamba niliifuma karatasi inayoonyesha nimewasiliana nani, wakati gani, yupo wapi na mm nikiwa wapi. Na nilimpombana zaidi akadai ana uwezo wa kupata mpk voice clip zangu kwa ninaowasiiliana nao.

Japo ilimthibitishia ni kweli nilikuwa nimesafiri lkn imeniogopesha sana. Kwa stage hii aliyofikia huyu anaweza kunidukua chochote kile kwenye simu yangu.

Wataalam wa sheria naomba mnisaidie hii kisheria imekaaje, Je kwa kuwa yeye ni mke halali wa ndoa, ni haki yake kupewa hizo taarifa? Vp kama nikiamua kuishtaki hiyo kampuni mm kama mteja wao je sheria itanibeba?

Sina nia ya kuprocess kesi yoyote lkn nataka tuu kufahamu.

Majibu yenu tafadhali.
Utajiri huo binamu pambana na hiyo kampuni ya simu, hii kama ni kweli lakini najua mimi ni ngumu sana kupata printout kirahisi bila kuwasiliana na Afande Swila.
 
Simu yako imewekewa spyware...usisingizie mitandao ya simu utaangukia pua
Ndiyo kama anatumia smartphone na mke ana access na hiyo simu ni rahisi kudukua na usalama/uangalizi wa simcard pamoja na simu ni mteja si kampuni ya simu.
 
Kama kweli unayo hiyo printout hii ni pesa mazee. Tafuta wakili mzuri mpange mkakati
Printout ninayo. Ila hii kesi naona italeta madhara personally hata kwa wife.
 
Wahenga walisema usimuwekee mtego wa kumfumania kama huna uwezo wa kumuacha.

Kuchunguzana mambo ya simu kwa wapenzi au wanandoa ni ucccchinga na ushamba, kama mtu unaona humuamini si umuache kuliko kuforce maugomvi yasiyo na masingi.
Ni kweli. Alitaka kujiridhisha kama kweli nilijuwa safari na kupitia hizo printout amethibitisha nilisafiri. Sasa mm ameshanitia hofu sijuzoea kuchunguzwa hivi. Hapa nakusanya nondo iki nimchemshe kidoggo asirudie tena. Nina uwezo wa kumbana mpka kunitajia walimomsaidia.
 
Back
Top Bottom